Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh: Pinda akiwasha mshumaa kwenye kaburi la hayati Baba wa Taifa huko butiama
Waziri mkuu Mh: Pinda akisalimiana na mtoto wa mwalimu wa Baba wa Taifa Madaraka Nyerere alipotembelea Butihama
Waziri mkuu Mh: Pinda akizungumza na mama Maria Nyerere butiama
Waziri mkuu wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mh: Pinda akishika kifimbo baada ya kupewa kama zawadi na familia ya baba wa Taifa
na Adnan
0 Maoni