• UVCCM TAIFA

  SAUTI YA VIJANA,SAUTI YA UMMA.CCM MPYA,TANZANIA MPYA.

 • UVCCM TAIFA

  MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO.

 • This is default featured slide 3 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

 • This is default featured slide 4 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

 • This is default featured slide 5 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

Ijumaa, 30 Agosti 2013

CCM: TUTAWASAIDIA WAZEE

 Baadhi ya wawakilishi wa Mtandao wa Wazee wakiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye nje ya ofisi za Makao Makuu ya Chama Dodoma leo tarehe 30 Agosti 2013.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na mmoja wa wawakilishi wa Mtandao wa Wazee Bibi Koku , Wazee hao walifika Makao Makuu ya CCM kuja kuzungumza madai ya pensheni zao ambayo waliahidiwa na serikali.
Share:

Alhamisi, 29 Agosti 2013

meza ya magazeti leo alhamis

Share:

Jumatano, 28 Agosti 2013

BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA KUFANYIKA ZANZIBAR

TAARIFA
TOKA;OMAR SLEIMAN KATIBU IDARA YA UTAWALA UCHUMI NA FEDHA UVCCM MAKAO MAKUU.
MAKATIBU WA MIKOA .UVCCM. . OFISI YA KATIBU MKUU . INAWAJULISHA KIKAO CHA BARAZA KUU TAIFA .LITAKALO FANYIKA ZANZIBAR. TAREHE I.9.20I3. WAJUMBE WOTE WAFIKE HQ DSM TAREHE 3I.8.20I3. SAA 7.0 MCHANA. NA SAFARI YA KUONDOKA HAPA KWENDA ZNZ NI TAREHE 3I. 8.20I3. SAA 8.3O NA MELI. TAFADHALI WAJULISHE WAJUMBE WOTE WALIOKO MKOANI KWAKO. OMAR SLEIMAN KATIBU IDARA YA UTAWALA UCHUMI NA FEDHA.

Share:

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ATOA MSAADA WA PIKIPIKI KWA WATENDAJI WA KAMATI YA MJI MPYA WA MABWE PANDE

 Msaidizi wa Makamu wa Rais wa masuala ya Maendeleo ya Jamii, Mgeni Feruzi Kayanda, akimkabidhi Pikipiki Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Geodan Rugimbana, aliyeikabidhi Pikipiki hiyo kwa wananchi wa Mji mpya wa Mabwe pande kwa niaba ya Makamu wa Rais, wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo katika mji huo mpya. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mji Mpya wa Mabwe Pande, Abdallah Kunja. Picha na OMR

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Geodan Rugimbana, akimkabidhi Pikipiki na nyaraka muhimu, Mwenyekiti wa Kamati ya Mji Mpya wa Mabwe Pande, Abdallah Kunja, wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo katika mji huo mpya, ambapo Mkuu wa Wilaya, alikabidhi Pikipiki hiyo kwa wananchi wa Mji mpya wa Mabwe pande kwa niaba ya Makamu wa Rais. Picha na OMR

 Sehemu ya wakazi wa Mji Mpya wa Mabwe Pande waliohudhuria hafla hiyo ya makabidhiano.

Msaidizi wa Makamu wa Rais wa masuala ya Maendeleo ya Jamii, Mgeni Feruzi Kayanda, akizungumza machache wakati wa hafla hiyo baada ya makabidhiano.Picha na OMR
Share:

Jumanne, 27 Agosti 2013

KAMATI KUU: MADIWANI BUKOBA HALALI Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi  wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uamuzi wa kamati kuu wa kubatilisha kufukuzwa kwa madiwani wa Bukoba nje ya ukumbi wa NEC.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa imejadili na kutolea maamuzi pamoja na mambo mengine suala la Madiwani wanane waliotangazwa kufukuzwa uanachama na Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kagera.

Katika maamuzi yake, Kamati Kuu imebatilisha uamuzi uliofanywa na Halmashauri Kuu CCM ya Mkoa wa Kagera Agosti 13, 2013 wa kuwafukuza uanachama Madiwani hao. Hivyo Madiwani hao wanane ni wanachama halali wa CCM.

Kamati Kuu imetoa uamuzi huo, baada ya kubaini kuwa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kagera haikuzingatia Katiba ya CCM ya 1977 Toleo la 2012 Ibara ya 93 (15). Ibara hiyo inasomeka kuwa moja ya kazi ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa ni:-
“Kumwachisha au kumfukuza uongozi kiongozi yeyote ambaye uteuzi wake wa mwisho unafanywa na Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa, isipokuwa kwa suala la kumvua uanachama au uongozi Diwani lisifanyike hadi Kamati Kuu imearifiwa na kutoa maelekezo”.

Aidha, Kamati Kuu imewaonya Madiwani wa CCM wa Manispaa ya Bukoba, Mbunge wa Bukoba Mjini na Meya kwa kusababisha kukosekana kwa utulivu, mshikamano na amani katika Manispaa na Chama.

Kamati Kuu pia imeitaka Serikali kumwagiza mdhibiti na mkaguzi mkuu wa serikali(CAG) kufanya ukaguzi maalum wa haraka wa mambo yanayolalamikiwa dhidi ya Meya ili ukweli ujulikane na matokeo ya uchunguzi huo yasilishwe kwenye baraza la madiwani ili hatua stahiki zichukuliwe kwa mujibu wa sheria na taratibu zinazoongoza Serikali za Mitaa.

Wakati tuhuma hizo dhidi ya Meya zikichunguzwa; Kamati Kuu inawataka Madiwani wa CCM  kurejesha utulivu kwenye Manispaa na Chama kwa ujumla ili kufanikisha utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kuwaletea maendeleo wananchi wa Bukoba.

Imetolewa na:-

Nape Moses Nnauye,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM
ITIKADI NA UENEZI
27/08/2013
Share:

Jumatatu, 26 Agosti 2013

MAJINA YA MAKATIBU WAPYA WA WILAYA CCMMAKATIBU WA CCM WA WILAYA WALIOTEULIWA NA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA
TAREHE 23/08/2013

1.           Ndugu Ashura Amanzi
2.           Ndugu Rukia Saidi Mkindu
3.           Ndugu Elias J. Mpanda
4.           Ndugu Jonathan M. Mabihya
5.           Ndugu Mulla Othman Zuberi
6.           Ndugu Jumanne Kapinga
7.           Ndugu Ali Haji Makame
8.           Ndugu Jacob G. Makune
9.           Ndugu Juma A. Mpeli
10.        Ndugu Hawa Nanganjau
11.        Ndugu Abdulrahman Shake
12.        Ndugu Subira Mohamed Ameir
13.        Ndugu Abdallah Shaban Kazwika
14.        Ndugu Juma Bakari Nachembe
15.        Ndugu Josephat Ndulango
16.        Ndugu Rajab Uhonde
17.        Ndugu Abeid Maila
18.        Ndugu Mohamed Lawa
19.        Ndugu Mariam Sangito Kaaya
20.        Ndugu Bakar Lwasa Mfaume
21.        Ndugu Julius Peter
22.        Ndugu Jumanne Kitundu Mginga
23.        Ndugu Mathias Nyombi
24.        Ndugu Mohamed Hassan Moyo
Share:

CCM KUIMARIKA ZADI NA ZAID MWAKA HUU

 Katibu wa NEC Uchumi na Fedha  Zakhia Megji akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  Mama Salma Kikwete katika ukumbi wa NEC, kabla ya kuanza kwa kikao cha Halmashauri Kuu Dodoma leo, 26 Agosti 2013.

 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa taarifa za misiba iliyojiri, kabla ya kikao akijaanza cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

Wajumbe wa Halmashauri Kuu wakiwa wamesimama kwa dakika moja kwa ajili ya kumuombea mjumbe mwenzao aliyefariki ndugu Meja Jenerali Haji Makame Rashid.

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa leo mjini Dodoma.CCM YAZIDI KUWA IMARA ZAIDI

Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kimemalizika jioni ya leo huku kukiwa na mabadiliko mbali mbali makubwa kwenye chama hicho.
 Kikao hicho ambacho kimeongozwa na Mwenyekiti wake wa Taifa Jakaya Mrisho Kikwete kimemalizika kukiwa na mabadiliko na mapendekezo mbali mbali, kikao hicho ambacho kimekaa kwa siku tatu mfululizo kikitumia siku mbili nzika kujadili Rasimu ya Katiba na maoni ya wana CCM .
    Halmashauri hiyo pia imeridhia uamuzi wa kufukuzwa uanachama Mansour Yussuf Himid kwa tuhuma za Kushindwa kusimamia malengo na madhumuni ya chama na kutekeleza masharti ya uanachama, kushindwa kutekeleza wajibu wa mwanachama na kukiuka maadili ya Kiongozi wa CCM,Kuikana Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2010-2015 na kukisaliti chama.
Mansour alianza uanachama tarehe 7/4/1988 na ni mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki,wilaya ya Damani,Mkoa wa Magharibi Unguja.
 katika hatua nyingine ya Kimaadili sula la madiwani wa Bukoba bado halijafikiwa uamuzi ingawa Kamati Kuu itakaa tena kesho tarehe 27 Agosti 2013 kufanya maamuzi ya suala la Bukoba.
   Kamati Kuu pia imependekeza  majina ya Makatibu wa Jumuiya,Ikiwemo Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi, Umoja wa Vijana  CCM  Ndugu Sixtus Mapunda, Wazazi Seif Shaaban Mohamed .
  Makatibu wapya wa Mikoa walioteuliwa ni Romuli Rojas John, Kaskazini Pemba Kassim Mabrouk Mbarak na Geita Mary Maziku.
 Share:

Jumapili, 25 Agosti 2013

MZEE MWINYI AIPONGEZA CCM KWA KUUNDA BARAZA LA USHAURI

Share:

Jumamosi, 24 Agosti 2013

CCM YAVUNJA REKODI UKUSANYAJI WA MAONI YA KATIBA

Share:

MWENYEKITI WA CCM TAIFA AZINDUA BARAZA LA USHAURI LA CHAMA

 Mwenyekiti wa CCM Taifa akiwasili kwenye viwanja vya Makao Makuu ya CCM Dodoma,tayari kwa ufunguzi wa baraza la ushauri la Wazee wa Chama,kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Taifa ndugu Abdulrahman Kinana na kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma ndugu Adam Kimbisa.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete,akiwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, na Makamu Mwenyekiti Bara Mstaafu John Samuel Malecela, kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana, Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Ndugu Benjamin William Mkapa na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ndugu Aman Karume wakati wa uzinduzi wa Baraza la Ushauri la Wazee wa Chama.
Wasanii wa Kundi la Kyela Beats wakitumbuiza wakati wa sherehe za kuzindua Baraza la Ushauri la Wazee wa CCM, leo Agosti 24,2013.
Katibu wa CCM Taifa ,Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa salaam za utangulizi wakati wa uzinduzi wa Baraza la Ushauri la Wazee la CCM.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wajumbe wa halmashauri kuu pamoja na wanachama wa CCM wakati wa uzinduzi wa Baraza la Ushauri la Wazee wa Chama.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete akiwa pamoja na Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wastaafu wa Chama wanaounda Baraza la Ushauri la Wazee wa Chama.Share:

UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu