Jumatano, 21 Agosti 2013

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA

WARSHA YA WIKI MOJA KWA REDIO ZA JAMII NCHINI KATIKA KUTEKEKELEZA MRADI WA DEMOKRASIA NA AMANI WA UNESCO UNAOFADHILIWA NA UNDP YAMALIZIKA WILAYANI SENGEREMA

Bashir Nkoromo at WATU NA MATUKIO, MAKALA - 1 day ago
[image: IMG_2735] Afisa Mipango Taifa wa Kitengo cha Mawasiliano na Habari na mratibu wa miradi ya UNESCO Yusuph Al-Amin asikiliza maoni wakati akiendesha mjadala wa namna ya ku-brand mradi wa Demokrasi na Amani (DEP) kuelekea uchaguzi 2015 kwa Mameneja na Wakurugenzi wa redio za jamii 25 nchini zilizohudhuria siku ya kufunga warsha ya wiki moja iliyoandaliwa na shirika la UNESCO na kufadhiliwa na UNDP. [image: IMG_2789] Meneja wa mradi wa Amani na Demokrasi (DEP ) kutoka UNESCO Courtney Ivins akizungumza na Mameneja na Wakurugenzi wa redio za jamii kupata tathmini ya warsha hiyo ili... more »

FORTUNATA MASHINJI AHEHEREKEA SIKU YA KUZALIWA NA WAFANYAKAZI WENZAKE

Bashir Nkoromo at WATU NA MATUKIO, MAKALA - 1 day ago
Keki ya Fortunata ambayo ilikuwa maalumu kwenye siku yake ya kuzaliwa ambayo alikula pamoja na wafanyakazi wenzake wa LAPF ,Dodoma. Fortunata akimlisha keki rafiki yake Scola Wakati wa kugonga glasi kama ishara ya kumpongeza Fortunata kwa kuongeza umri zaidi katika sherehe ndogo iliyofanyika kwennye Pub maarufu ya Ngonyani , Dodoma. Fortunata akimimina champaigne kwa wafanyakazi wenzake wa LAPF waliojumuika nae siku ya kuzaliwa kwake iliyofanyika hivi karibuni,Dodoma.

HOTUBA YA MHE. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWENYE BARAZA LA EID EL FITR, TABORA, TAREHE 9 AGOSTI 2013

Bashir Nkoromo at WATU NA MATUKIO, MAKALA - 1 week ago
*Mheshimiwa Mufti wa Tanzania ,* *Sheikh Issa bin Shaaban Simba;* *Mheshimiwa Fatma Mwassa* *Mkuu wa Mkoa wa Tabora;* *Viongozi wa Dini na Madhehebu Mbalimbali;* *Viongozi wa Mkoa wa Tabora na Mikoa jirani;* *Katibu Mkuu wa BAKWATA;* *Wajumbe wa Baraza la Ulamaa;* *Viongozi Mbalimbali wa BAKWATA;* *Wageni Waalikwa;* *Ndugu Waumini;* *Ndugu Wananchi;* *Eid Mubarak!* Awali ya yote, napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma kwa kutujalia uzima, afya njema na kutuwezesha kujumuika hapa siku ya leo kuadhimisha tukio hili muhimu la kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu ... more »

HOJA MTAMBUKA: KAMA PINDA AMEFUNGULIWA KESI KWA KUSEMA 'UTAPIGWA TU', VIPI ALIYETISHIA KUMWAGA DAMU?

Bashir Nkoromo at WATU NA MATUKIO, MAKALA - 2 weeks ago
*Na Charles Charles* KITUO cha Sheria na Haki za binadamu (LHRC) kikishirikiana na Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), kimemfungulia mashtaka Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Kayanza Pinda kufuatia kauli aliyotoa bungeni hivi karibuni dhidi ya wakorofi wachache wanaofanya vurugu nchini, kisha wanakaidi maagizo wanayopewa na vyombo vya dola ya kukatazwa wasifanye hivyo kwa kwenda kinyume chake. Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dk. Hellen Kijo Bisimba ndiye alifungua kesi hiyo katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, Alhamisi iliyopita huku Mkurugenz... more »

ADV/TANGAZO

Bashir Nkoromo at WATU NA MATUKIO, MAKALA - 2 weeks ago
FROYO LAUNCHES THIS EID! GET A TASTE OF YOUR FIRST FROYO ON 1OTH AUGUST 2013 P.O. Box 40349 Quality Centre, Nyerere Road, Dar-es-Salaam, TanzaniaTo Unsubscribe, please click here.

HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA WANANCHI, TAREHE 31 JULAI, 2013

Bashir Nkoromo at WATU NA MATUKIO, MAKALA - 2 weeks ago
*Ndugu wananchi;* Kama ilivyo ada naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehma, kwa kutujalia uzima na kutuwezesha kwa mara nyingine tena kutekeleza utaratibu wetu huu mzuri tuliojiwekea wa Rais kuzungumza na taifa kila mwisho wa mwezi. *Ndugu Wananchi;* Mwezi Julai, 2013 ulikuwa wa neema kubwa ya wageni kwa nchi yetu wakiwemo watu na viongozi mashuhuri duniani. Natoa shukrani nyingi kwa Watanzania wenzangu kwa jinsi tulivyowapokea wageni wetu zaidi ya 1,700. Wamefurahi kuwepo kwao nchini na wameondoka wakiwa na kumbukumbu nzuri ya nchi yetu. Wageni wetu wamekuwa ... more »

MANENO MBEGU NA QUEEN SENDIGA WAMEREMETA

Bashir Nkoromo at WATU NA MATUKIO, MAKALA - 3 weeks ago
Bwana Harusi Maneno Mbegu akivishwa pete na mwandani wake, Queen Sendiga walipokuwa wanafunga ndoa hivi karibuni katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam. Maneno Mbegu akiapa mbele Ofisa Tawala Wilaya ya Kinondoni Queen akila kiapo Mbegu akitia saini Queen akitia saini Wakitoka baada ya kufunga pingu za maisha Du! hivi kweli tumeoana? Maharusi wakiwa na sura za bashasha Huyu ndiye Mbegu Baba akimpongeza binti yake kwa kuolewa Mbeg... more »

ZIARA YA WASSIRA WILAYANI MAGU MKOANI MWANZA

Bashir Nkoromo at WATU NA MATUKIO, MAKALA - 3 weeks ago
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Steven Wasira akiwa na Mkuu wa wilaya ya Magu, Jacqueline Liana alipokagua maendeleo ya katika shule moja akiwa katika ziara ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza tarahe 24. 7. 2013 Waziri na Mkuu wa wilaya, wakishuhudia mmoja wa wananfunzi wa shule hiyo alipokuwa akiandika ubaoni Waziri akizungumza na wanafunzi katika shule hiyo Waziri Wasira akiwapongeza wananfunzi wa shule hiyo Waziri Wasira akikalia moja ya viti vilivyotengenezwa na mafundi wajasiriamali wa viti hivyo katika wilaya hiyo ya Magu. Kinamama wakicheza ngoma kunog... more »

BENKI YA DUNIA YAIPA CHANGAMOTO AFRIKA KUBORESHA MATUMIZI YA ARDHI KUONDOA UMASIKINI

Bashir Nkoromo at WATU NA MATUKIO, MAKALA - 3 weeks ago
*WASHINGTON, DC, Julai 22, 2013 *– Benki ya Dunia imetoa changamoto kwa nchi za Afrika kuhimiza maendeleo endelevu ya ardhi ili kupunguza umaskini na kujiletea maendeleo. Ripoti ya Benki hiyo iliyotolewa Julai 22, 2013 imeeleza kuwa ingawa nchi za Afrika ina karibu nusu ya eneo la ardhi nzuri ambayo haijaendelezwa kwa kilimo, bara hilo limeshindwa kuiendeleza ardhi hiyoinayokadiriwa kuwa hekta milioni 202 kujikwamua katika umaskini, kuleta maendeleo ya uchumi,kuongeza nafasi za kazi na kulleta mafanikio kwa jumla. Ripoti hiyo inayoitwa *“Kutumia ardhi ya Afrika kwa mafanikio... more »

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWENYE SHEREHE ZA MAKABIDHIANO YA MAJENGO YA HOSPITALI ZA MNAZI MMOJA, SINZA NA RANGI TATU, TAREHE 11 DESEMBA, 2012

Bashir Nkoromo at WATU NA MATUKIO, MAKALA - 8 months ago
*Mheshimiwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii;* *Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam;* *Mheshimiwa Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea;* *Waheshimiwa Wabunge na Madiwani;* *Viongozi na Watendaji wa Serikali;* *Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam;* *Mabibi na Mabwana:* Nakushukuru sana Mkuu wa Mkoa na viongozi wenzako wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa kunialika kuja kujumuika nanyi katika tukio hili muhimu la makabidhiano ya majengo yatakayotumika kama vituo vya kutolea huduma ya afya kwa akina mama wajawazito na watoto katika Hospitali za Mnazi Mmoja, Sinza na Mbagala Rangi Tatu. Pamo... more »

Untitled

ELIBARIKI at mmassy - 2 years ago
Elibariki joseph mungu akiumba tembo hatumi garama kubwa na wala mungu akiumba sisi mizi sikwamba ametumia garama kidogo take that

WANAFUNZI MAANDAMO TENA JUMATANO DAR

GADIOLA at mmassy - 5 years ago
BAADHI ya wanafunzi walioandamana wamesisitiza kuwa wataendelea kuandamana hadi pale Serikali itakaposikiliza kilio chao. Akizungumza na waandishi wa habari jana Katibu Mkuu wa Chama cha Wanafunzi wa Sekondari Tanzania (TASSA Bw. Agustino Matefu alisema kuwa wameiandikia barua Serikali kuhusu kupunguziwa nauli na kuipa siku mbili kutoa majibu ambapo wasipojibiwa wataandamana nchi mzima bsiku ya jumatano. Wakizungumza na Majira Jumapili jana Dar es Salaam, wanafunzi vwengine walisema kuandamana kwao juzi kupinga nauli mpya ya sh. 100 si mwisho bali ni mwanzo wa kuendelea kudai haki ... more »

WAFANYAKAZI WA MABASI ACHENI WIZI

GADIOLA at mmassy - 5 years ago
* * *JUZI Watanzania walianza kulipa viwango vipya vya nauli vilivyotangazwa na Mamlaka ya Udhibit wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra). Viwango hivyo vinahusisha usafari wa mijini na nauli kutoka mkoa moja hadi mwingine. ****Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Sumatra wakati wanatangaza nauli mpya, viwango hivyo vimeongezeka kwa karibu asilimia 30 kutoka vile vya zamani na kwamba hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na gharama za uendeshaji kupanda, ambazo zimechochewa na kupanda kwa bei ya mafuta ya petroli na dizeli. Mamlaka hiyo ilisema kwamba katika kufanya maamuzi hayo il... more »

MGOMO WA NAULI DAR

GADIOLA at mmassy - 5 years ago
*CCM Dar yaunga mkono mgomo wanafunzi kupinga nauli mpya * *CHAMA cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Dr es Salaam kimewaunga mkono wanafunzi kupinga ongezeko la nauli mpya ya Sh 100 iliyoanza kutozwa jana kwa madai kuwa ongezeko hilo linaziongezea familia ugumu wa maisha na kikwazo cha maendeleo ya wanafunzi. Maamuzi hayo ya CCM yamefikiwa kwenye kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Mkoa wa chama hicho kilichokutana kujadili utekelezwaji mpya wa nauli iliyoanza jana huku wanafunzi wakiandamana kupinga ongezeko hilo. * *Akizungumza na wajumbe wa CCM katika ziara yake ya kikazi wilayani ... more »

CHIUNESE NAME

GADIOLA at mmassy - 5 years ago
*Chinese Name * ** *confusionCaller: Hello, can I speak to Annie Wan?* *Operator: Yes, you can speak to me.* *Caller: No, I want to speak to Annie Wan!* *Operator: Yes I understand you want to speak to anyone. * *You can speak to me. Who is this?Caller: I'm Sam Wan . And I need to talk to Annie Wan! It's urgent.* *Operator: I know you are someone and you want to talk to anyone! But what's this urgent matter about?* *Caller: Well... just tell
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu