Jumatano, 21 Agosti 2013

MBEZI LUIS NA BASIHAYA, KUJENGWA VITUO VYA MABASI YAENDAYO MIKOANI

Published in Jamii
IMG 2579 d5d8b
Msemaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Bw. Gaston Makwembe KUSHOTO akiwaeleza waandishi wa habari Mpango wa Halmashauri kujenga vituo vya Mabasi yaendayo mikoani na nchi za jirani katika maeneo ya Mbezi Luis na Boko Basihaya katika mkutano na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam KULIA ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Bi. Zamaradi Kawawa.
hdg

SHIRIKA LA TAIFA LA HIFADHI YA JAMII (NSSF) TAARIFA KWA UMMA

Published in Jamii
nssf f31f8
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii katika mwaka huu wa fedha linatarajia kukusanya mapato ya Tshs. Billion 706.41 kutoka kwenye michango ya wanachama ambao hadi mwishoni mwa mwezi Julai mwaka huu shirika lilikua na wanachama 522,763 kwa nchi nzima.
Taarifa iliyotolewa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii kwa waandishi wa habari imeeleza kwamba kiasi hicho cha michango kitatokana na uandikishaji wa wanachama 169,241 wa mpango wa lazima na wanachama 85,158 wanaojiunga na NSSF kwa njia ya hiari.Katika kipindi hicho waajiri 3,062 wanatarajia kuandikishwa kwenye Shirika kuungana na waajiri 19,231 wa sasa na kufanya ongezeko la asilimia 84.07%.
Taarifa pia imeeleza kuwa kiasi cha mafao kitakacholipwa ni shilingi bilioni 199 kwa wanachama watakaoacha au kustaafu kazi katika mwaka huu wa fedha.
hdg

Soma zaidi...

Vijana wapewa changamoto ya kuweka akiba

Published in Jamii
PIX1 3f07a
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel aliyesimama akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa semina ya siku mbili kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Benjamin William Mkapa  jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Bibi Mwinda Kiula Mfugale, Mkurugenzi Mtendaji wa NBC Bibi Mizinga Melu na kulia ni Mkuu wa Shule ya Sekondari Benjamini William Mkapa Mwl. Gebo Steven Lugano.
hdg

Syrian 'Poison Gas' Attack By Government Forces Claimed By Opposition

Published in Majuu
a-SYRIA-404x304 7e927
Syrian anti-government activists accused the regime of carrying out a toxic gas attack that killed at least 100 people, including many children, during intense artillery and rocket barrages Wednesday on the eastern suburbs of Damascus, part of a fierce government offensive in the area.
The attack coincided with the visit by a 20-member U.N. chemical weapons team to Syria to investigate three sites where chemical weapons attacks allegedly occurred during the past year. Their presence raises questions about why the regime – which called the claims of the attack Wednesday "absolutely baseless" – would use chemical agents at this time.
hdg

Soma zaidi...

diamond atajwa sakata la unga

Published in Burudani
DiamondTanzania getMziki 8cace
KWA mara ya kwanza tangu lilipoibuka sakata la watu maarufu kujihusisha ama na utumiaji au usafirishaji wa dawa za kulevya, jina la mwanamuziki anayeaminika kuwa na ukwasi mkubwa kwa sasa hapa nchini, Nasseeb Abdulmaliki, maarufu zaidi kwa jina la Diamond, limeanza kutajwa kuwa ni miongoni mwa vigogo wa 'unga.' (HM)
Soma zaidi...

Lunch ya kwa bibi hii..!

Published in Jamii
lunch_f8785.jpg
 
Bibi wa makamanda wangu.Ngobedi, Mzenga, Kisarawe mchana huu.
Comments!
Anna Peter Apema Haki nakuapia kaka Maggid Mjengwa hututendei haki hata kidogo,mambo gani sasa haya
21 minutes ago · Like · 1
Zawadi Ngailo-Nzungu Yummyyyyyy
16 minutes ago · Like
Mohammed Mgori I love your Family
11 minutes ago · Like
P.T

Ubaguzi wa rangi Italy: lazio yaadhibiwa kucheza bila mashabiki

Published in Michezo
lazio 4c3e8
Katika michezo sehemu ya uwanja wa klabu ya Lazio ya Italia imefungwa kwa mechi moja pekee kufuatia mashabiki kuwatusi wachezaji weusi. (HM)
Soma zaidi...
kabichi_36d0e.jpg
Vidonda vya tumbo ni ugonjwa ambao umekuwa ukiwasumbua watu kadhaa na hata kusababisha kifo kutokana na kuvidonda kuwa vikubwa, utumbo kuharibika, kupoteza damu nyingi na kupatwa na saratani.
P.T
Soma zaidi...

Lema augua, alazwa kesi yaahirishwa;

Published in Jamii
lema_e26aa.jpg
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha jana imeshindwa kuanza kusikiliza kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo, kutokana na mbunge huyo kuwa mgonjwa.Wakili wa Lema, Method Kimomogoro, aliieleza mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi, Hawa Mguruta, anayesikiliza shauri hilo kuwa Lema anaumwa na alikuwa amelazwa katika Hospitali ya AICC tangu Agosti 14 hadi 19, mwaka huu aliporuhusiwa kutoka hospitali, hivyo ametakiwa apumzike kwa muda wa siku 10 kuanzia Agosti 19, mwaka huu.
P.T
Soma zaidi...

Ofisa JWTZ ahofiwa kutorokea Rwanda

Published in Siasa
mwamunyange davis 94945
OFISA wa cheo cha juu katika Jeshi la Wananchi (JWTZ), anayeaminika kuwa na asili ya Rwanda, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha, huku akiacha wingu la mashaka kwamba, hatua yake hiyo inaweza ikawa imeambatana na kupotea pia kwa baadhi ya taarifa muhimu za kijeshi. (HM)
Soma zaidi...

24 WAITWA STARS KUIVAA GAMBIA

Published in Michezo
wambura 592a4Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ameita kambini wachezaji 24 kujiandaa kwa mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Gambia itakayochezwa Septemba 7 mwaka huu nchini humo.
Wachezaji hao wanatakiwa kuripoti kambini Agosti 29 mwaka huu kabla ya saa 1 kamili usiku. Kambi ya Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itakuwa kwenye hoteli ya Accommondia jijini Dar es Salaam. (HM)
Soma zaidi...

Rwanda yachokonoa familia ya Kikwete

Published in Siasa
kikwete rais a319a
Uhusiano kati ya Tanzania na Rwanda unazidi kudorora kutokana vyombo vya habari na baadhi ya maofisa wa nchi hiyo kuanza 'kuichokonoa familia ya Rais Jakaya Kikwete'. (HM)
Soma zaidi...

Bye bye Dar es Salaam..!

Published in Jamii
bye_bye_dsm_63cea.jpg
.. Dar ina hazina ya majengo ya kale ambayo yalihitaji tu ukarabati na kubaki kuupendezesha mji huu mkongwe wa tangu mwaka 1866.
Kila mji una utambulisho wake, kubomoabomoa kila jengo ni kufuta utambulisho huo. Na hakika, kuendelea kuruhusu bomoabomoa hii isiyozingatia umuhimu wa baadhi ya majengo yetu kwa historia yetu, ni sawa na kuruhusu ujangili dhidi ya majengo yetu ya kihistoria. Ni ujangili kama wa kuua tembo wetu. Inasikitisha.
Maggid,
P.T

Ukatili huu utaisha lini?

Published in Jamii
KUCHOMWAMOTOSONGEA 64665
Fikiri Hausi mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi ya majengo manispaa ya Songea akiwa amelazwa Hospitali ya mkoa baada ya kuunguzwa na mama yake. Jeshi la polisi lina endelea kumtafuta mama wa mtoto huyo(Picha: Songea habari)
MKONOULIOUNGUZWA bb7f1
huu ni mkono wa Fikiri akiwa hospitali kwa matibabu
P.T

Mwakyembe awashukia wapelelezi dawa za kulevya

Published in Jamii
mwakyembepx b7145
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amewashukia waendesha mashitaka na wapelelezi kesi zinazohusiana na dawa za kulevya kuwa hadi sasa zimefikia 36 lakini hakuna taarifa zake.
Mwakyembe aliyasema hayo wakati akizungumza kwenye Kipindi cha Jenerali On Monday kilichorushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten juzi usiku.
hdg

Soma zaidi...

meza ya magazeti leo jumatano

Published in Magazeti

Tsvangirai atuhumiwa kudharau mahakama;

Published in Jamii
Morgan-Tsvangirai_da35d.jpg
Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tvangirai anakabiliwa na makosa ya kudharau mahakama kufuatia matamshi aliyoyatoa kuhusiana na idara hiyo.
Jaji wa mahakama kuu Chinembiri Bhunu amesema waendesha mashtaka watafahamishwa kuhusu tuhuma hizo. Haya yanajiri wakati chama cha Tsvangirai cha Movement For Democratic Change kimepoteza kesi mbili kulalamikia uchaguzi mkuu wa Julai 31 mwaka huu.
P.T
Soma zaidi...

Jaji Mkuu Z’bar kusikiliza kesi mauaji Padri Mushi;

Published in Jamii
jajimkuu_732e0.jpg
Kesi ya mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Zanzibar, sasa itasikilizwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu.Hatua hiyo imekuja baada ya mshtakiwa anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya Padri Mushi, Omar Mussa Makame, kumkataa Jaji Mkusa Sepetu kwa madai ya kutomtendea haki.
P.T
Soma zaidi...

Good morning Africa, Good morning the World!

Published in Jamii
lunch_25a22.jpg
A simple lunch in Dar es Salaam, Tanzania.
P.T

Profesa DRC Amuunga Mkono Rais Kikwete;

Published in Jamii
 wamba_dia_wamba_cf7a8.jpg
Na Mwandishi Wetu
PROFESA Wamba Dia Wamba kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ameunga mkono kauli ya Rais Jakaya Kikwete iliyozua mvutano kati ya Rais wa Rwanda Paul Kagame na Tanzania, na kudai kikwete yuko sahihi.
Profesa Wamba mtaalamu wa historia aliunga mkono kauli ya Rais Kikwete alipokuwa akifanya mazungumzo na baadhi ya wadau wa Mtandao wa Wanabidii waliomtembelea nyumbani kwake nchini Tanzania na kuzungumza naye masuala anuai ya Afrika.
P.T
Soma zaidi...

KIPANYA LEO...!

Published in Jamii

DK.Shein afanya Mabadiliko katika Wizara za Serikali ya Mapinduzi

Published in Siasa
IMG 30622 1c628
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]     M.M
Soma zaidi...

Wakurugenzi 70 vinara mtandao wa ufisadi;

Published in Jamii
pindapx_72a62.jpg
Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imebaini mtandao wa ufisadi unaoshirikisha wakurugenzi 70 wa halmashauri mbalimbali hapa nchini ambao wanashirikiana na baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Kitengo cha Hazina.Baadhi ya halmashauri hizo ni pamoja na Wilaya ya Monduli, Arusha, Mwanza, Mbeya na Ilala.
P.T
Soma zaidi...

Scissors kick GOLAZO!!! Antoine Griezmann (Real Sociedad) v Lyon!!

Published in Michezo
iV70W1Z71PzX4_ef30a.gif
  • Start
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu