Jumatatu, 9 Septemba 2013

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI NZEGA, APOKEA PIKIPIKI 9 KUTOKA KWA DK. KHAMIS KIGWANGALA NA KUKABIDHI KWA KATA 9 ZA CCM

1Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Siasa Ndugu Nape Mosses Nnauye ukiwasili katika mji wa Nzega Katika wilaya hiyo Tayari kwa kuanza Ziara ya Siku 18 katikia mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara kesho ambapo ziara hiyo itaanza katika mkoa wa Shinyanga, Katibu Mkuu huyo amepokelewa na viongozi mbalimbali wa chama na wananchi waliojitokeza katika mapokezi hayo, Kinana leo amezungumza na wananchi wa Nzega na kukutana na vikundi mbalimbali vya ujasiriamali ambapo pia amepokea Pikipiki tisa kutoka kwa mbunge wa jimbo hilo Dk. Khamis Kigwangala ambazo ambazo amezikabidhi kwa viongozi wa kata 9 kati ya 21 zilizopo katika Wilaya hiyo, ambapo pia amekabidhi mashine ya kutotolea vifaranga vya kuku kwa kikundi cha wazee wa Nzega , Pikipiki hizo zimekabidhiwa katika kata za Budushi, Ndala, Puge, Nkininziwa,Mbogwe, Lusu, ,Ijaniga, Utwigu na Isanzu baadae pikipiki 7 zitafutaiwa na kisha kata tano za mwisho. PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-NZEGA 2Vijana waendesha pikipiki na baiskeli wakiongoza msafara wa Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. 3 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili wilayani Nzega leo 4Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipita katikati ya vijana wa Greenguard wa CCM huku wakitoa heshima zao mble ya mgeni huyo mara baada ya kuwasili wilayani Nzega leo. 5Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi mbalimbali. 6 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wanachama mbalimbali na wananchi mara baada ya kuwasili wilayani Nzega. 7Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi 8 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisamewa risala wakati alipozindua mradi wa ujenzi wa vibanda vya biashara vya mradi wa Chama cha Mapinduzi Wilayani Nzega. 9Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizindua mradi wa ujenzi wa vibanda vya biashara katika uwanja wa Samora, vibanda hivyo ni mradi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilayani Nzega. 10Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala akizungumza na wananchi huku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza. 11Katibu wa Itikadi, Uenezi na Siasa Ndugu Nape Mosses Nnauye huku katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipiga makofi 12 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi huku Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala akimsikiliza. 13Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika mapokezi hayo 14Wananchi wa Nzega wakiimba kwa furaha mara baada ya kumpokea katika mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana. 15Umati wa wanavikundi wakiwa katika mkutano huo 17Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala akimsikiliza akiongea na wananchi 18Pikipiki zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala akimsikiliza zikiwa tayari kwa ajili ya kukabidhiwa. 19 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijaribu kuendesha moja ya pikipiki kbaada ya kuzikabidhi kwa viongozi wa Kata 9 za Wilaya ya Nzega, 20Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi pikipiki kwa Hanifa Musa Kutoka kata ya Isanzu huku Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala katikati akishuhudia tukio hilo. 21 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpongeza Mbunge wa Jimbo la Nzega Dk. Khamis Kigwangala mara baada ya kukabidhi mashine ya kutotolea vifaranga kwa kikundi cha wazee wa Nzega mjini humo.22Katibu wa Itikadi, Uenezi na Siasa Ndugu Nape Mosses Nnauye akizunumza na wana Nzega. 23Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizunumza na wananchi wakati alipowaambia hakuna haja ya kubadilisha mbunge mara kwa mara katika uchagzi kama mbuge aliyepo anafaa na anawatumikia wananchi vizuri kama vile Dk. Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala

Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu