Jumanne, 10 Septemba 2013

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI MKOANI SHINYANGA NA KUANZA RASMI ZIARA YAKE

1Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili katika mji wa Isaka Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga leo asubuhi tayari kuanza ziara yake ya siku nne mkoani humo katika kuimarisha chama na Kuhamasishwa wananchi katika kushiriki kwenye shughuli za maendeleo.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-ISAKA2Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na Khamis Mgeja Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga mara baada ya kupokelewa katika mji mdogo wa Isaka

5hViongozi mbalimbali wa Chama wakimpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.4Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana Akisalimiana na viongozi mbalimbali wa chama wakati alipowasili katika mji wa Isaka Wilayani Kahama leo asubuhi. 6Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia na Khadija Kusaga aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke 3Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Ezekiel Maige mbunge wa jimbo la Msalala wilayani Kahama katika mkoa wa Shinyanga 15Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkabidhi kipaza sauti Katibu wa Itikadi , Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye wakati wakiongea na wananchi katika mji wa Isaka, katikati ni Khameja Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga 14Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika mapokezi hayo. 13Khameja Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga akizungumza na wananchi wakati wa mapokezi hayo kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kulia ni Katibu wa Itikadi , Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye .12 Waananchi wakinyanyua mikono juu wakishangilia wakati Katibu wa Itikadi , Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye hayupo pichani akiongea.

Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu