Ijumaa, 13 Septemba 2013

KATIBU MKUU WA UVCCM NA NAIBU KATIBU MKUU WA UVCCM BARA,WAANZA KAZI KWA KUPATA DUA NA BARAKA TOKA KWA WAZEE


Ndugu Sixtus Mapunda, katibu mkuuu wa UVCCM akiwa na naibu wake bara, Ndugu Mfaume Kizigo leo majira ya alasiri katika Makao Makuu ya ofisi hiyo yaliyopo Dar es salaam, walianza kazi rasmi kwa staili ya namna yake, kwa kukutana na wazee maveterani wa UVCCM, KUPATA BARAKA ZAO NA DUA ZAO ILI KASI YAO KATIKA KAZI IWE SALAMA NA MWENDO MAKINI WA VIWANGO SAWIA
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu