Jumanne, 10 Septemba 2013

KINANA AWASALIMU WANA NZEGA

 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,Katibu wa CCM Mkoa wa Tabora Ndugu Idd Ame.
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa wilaya ya Nzega Mkoani Tabora mara tu baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa vibanda 54 katika uwanja wa Samora.
 Baadhi ya Madiwani wa CCM wa wilaya ya Nzega wakinyoosha mikono juu kuwapungia wananchi wakati wa mkutano wa hadhara uliowakutanisha  waendesha pikipiki,baiskeli na wauza mboga mboga wa wilaya ya Nzega.
 Mohamed Munazir ,Mwenyekiti wa Wazazi Kata ya Bukene.
 Katibu wa CCM Wilaya ya Nzega Kajoro Vyohoroka akizungumza machache  wananchi wa wilaya ya Nzega .
 Katibu wa CCM Mkoa wa Tabora ndugu Idd Ame akitoa bashraf wakati wa mkutano wa hadhara.
 Mtanzania Mzalendo akiwa kwenye eneo la Mkutano wa hadhara wilayani Nzega.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa Wilaya ya Nzega .
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpongeza mbunge wa Jimbo la Nzega kwa kazi nzuri anazofanya Jimboni mwake.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akijaribu moja ya pikipiki tisa zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Nzega kwa kata za CCM wilaya ya Nzega.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa maelekezo ya jinsi ya kuenedesha pikipiki Katibu wa Kata ya Isanzu Ndugu Anifa Musa kabla ya kumkabidhi pikipiki hiyo.
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwakabidhi wazee wa kikundi cha Mishagi Banammala mashine ya kutotoresha vifaranga , mashine hiyo ni sehemu ya vitu vilivyotolewa na mbunge wa jimbo la Nzega Dk.Hamis Kigwangala.
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea Katiba ya Chama Cha Ushirika  cha Akiba na Mikopo (Vijana Nzega Saccos ltd) kama ishara ya uzinduzi wa Katiba hiyo.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisoma cheti cha utambulisho wa mmoja wa waasisi wa TANU, Bibi Amina Maufi walipomtembelea nyumbani kwake Nzega.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza muasisi wa TANU Bibi Amina Maufi , kulia ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Mbunge wa jimbo la Nzega pamoja na viongozi wengine wa Chama.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu