Unordered List


MKT WA UVCCM TAIFA;SADIFA JUMA KHAMIS AWAVURUGA WAPINZANI TEMEKE DSM






katika ziara hiyo bwana Sadifa ameweza kuwapa kadi jumla ya vijan 650na ahadi zake zote alizotoa amezitekeleza kwa kutoa jezi,mipira na pesa tasilimu. suala ambalo lilionekana kuwapa presha vyama vya CUF NA CHADEMA kiasi cha kuchimba barabara kuzuia msafara wa mwenyekiti huyo ulipokuwa unapita, lakini kupitia vijana imara wa CCM waliweza kuhakikisha amani inatawala na kila kitu kinaenda sawa kama kilivyopangwa



Chapisha Maoni

0 Maoni