Unordered List


Ajira kwa Vijana wa Gairo

Nivema Viajana tukajituma kwa Kuanza kujiajiri wenyewe kwani ukijiari unafaidika kwa asilimia Mia kwani chocho unachokiingiza ni chako kwa Fida yako. 
Wakati Vijana wa CCM wakijituma kwa Hali zaidi Kasi zaidi na Nguvu zaidi vijana wa Chama filani Pinzani wamekalia kulumbana na kubishana majukwaani na Mitandaoni badala yakuhamasishana kufanya kazi kwa Bidii wao wanahamasishana Kuandamana, Kugoma, Kutusi mitandaoni, Majukwaani nk....
Tujitume Vijana wa Tanzania tuache Ushabiki tuwe wazalendo ili Kuliokoa Taifa letu.




 Mbwa wadogo wadogo wazuri sana.

 Usithubutu kusogea hovyo hovyo apo.

Mnakaribishwa watanzania wote kufika na Kununua Mbwa hao kwa Ajili ya Ulinzi na kupata Mbwa wengine wale wadogo wadogo wanaotumika zaidi kama Urembo tu na kusaidia ulinzi kidogo.
Tuwaunge mkono Jina hawa kwa Kuwatia Moyo na Kuwaunga Mkono ktk Biashara yao hiyo ya Kuuza Mbwa wa Kisasa. Huko GAIRO.

Chapisha Maoni

1 Maoni

Unknown alisema…
tupeni namba zao za simu