Unordered List


UNITED AGAINST AIDS CONCERT -UVCCM

UVCCM TAIFA IMEANDAA TAMASHA LA UKIMWI SIKU YA UKIMWI DUNIANI LEO HII TAREHE 1 DECEMBER 2013
UNITED AGAINST AIDS CONCERT -UVCCM
 Maturubai yanafungwa kwa ajili ya wageni Rasmi na wadau wengine wote kupumzika kivulini
 Si mchezo kazi hii nikwaachi tu yakuhakikisha mambo yote yankwenda sawa kwa maana yakwamba pasiwe na kuunguzwa na jua mpaka mtu akimbie Viwanjani.
 Baadhin ya Mabomba yakishushwa katika Gari
 Huu ni Bonge la Mziki toka kwa Shigongo, Mziki huu ndo uleeeee unaopigaga kule Dar Live na Ndo unaopigaga pale Uwanja wa Taifa hivo Leo Dar Nzima lazima Msikie Sauti za VIJANA UVCCM na Kada zote kwa Mema waliyowaandalia Watanzania.
 Patakuwa na Wanamuziki wengi sana Leo na Mziki utakuwa #LIVEBAND kwani kama unavyoona katika picha hapa kuna ngoma na vifaa vya muziki wa Live hivo, Wasanii kama Barnabae, Linah, Recho, Makomando, Tunda tamu asilia Band, Vijana Jazz na wengine kibao watafanya miziki Live apa Viwanja vya Biafra Kinondoni Dar es salaam.
 Kamani inazidi kuumiza Kichwa apa kuhakikisha mambo yanakaa sawa
Apa Chini ni Dollar Kusenge , Jabiri Omary na Paul Makonda ktk Gari
Vifaa vinaendelea Kufungwa apa Mnakaribishwa sana watu wa Kada zote pande zote za Dar es salaam

Chapisha Maoni

0 Maoni