Unordered List


Viongozi UVCCM waendelea na Ziara....!!

Ile Ziara ya Viongozi wa UVCCM Mkoani morogoro imeendelea tena leo kwa Hali, Nguvu, na Kasi zaidi,
Leo hii wametembelea na Kuzindua Shina la UVCCM, Hivo hii ni mikakati endelevu kuhakikisha tunazidi weka mambo sawa kwa Wananchi wetu wanazidi kupotoshwa na kundi la wanasiasa Uchwala, Hivo Tunawakalibisha Raia kujitokeza kwa wingi ktk mikutano ili kuwaelimisha kwa Ukweli na Uhakika.
 Shina la wakereketwa wa UVCCM limefunguliwa na Ndg. Herieth Edward Sutta ktk picha , akisindikizwa na Viongozi wenzie ktk Picha.
 Hapa ni wananchi wa Kilosa wakiwa ktk Eneo la Mkutano na uzinduzi wa Shina la UVCCM

Chapisha Maoni

0 Maoni