Unordered List


Ziara ya Viongozi UVCCM Mkoani Morogoro....!!!

Ziara ya viongozi wa UVCCM Mkoa wa Morogoro, Wakiongozwa na na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Morogoro Bi Heriet Sutta.
Na Mjimbe wa Baraza Kukuu UVCCM Taifa Ndugu Asenga Abubakar.
Wameanza ziara Ulanga na sasa wapo Ifakara Wilaya ya Kilimbero.
Na kesho watakuwa Kilosa.
Pamoja na Viongozi hao kuna wajumba wa Kamati ya utekelezaji ya Mkoa 
1.Robert Selasela
2.Heri Hoza.
3.Bupe Fred
4. Dan Mhanzo
5. Prisca Kahumbi
 Vikao vinaendelea kuhakikisha mambo yote yanakaa sawa. hii ni hakuna kulala kwa UVCCM


 Hapa ni Kamanda Sophia Mfaume Mjumbe wa akimwaga sera zake kwa vijana wenzie.
 Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Ndugu Abubakar Asenga.
 Vijana na Viongozi hao wa UVCCM walitembelea na Kukagua ujenzi wa Draja la Kilombero.
Ujenz wa daraja la kilombero

Rais Kikwete ameahidi na anatekeleza
 Wananchi na Vijana wa Morogoro wakisikiliza kwa Mkini Viongozi wao wa UVCCM kwa sera na Hoja za Kulijenga Taifa letu.
 Katikati ni Asenga, Kulia ni Sophia na Kiongozi Kamanda UVCCM
 Wajumbe wakisikiliza kwa Makini
Ziara moro wanasonga kijiji kwa kijiji

Lazima wananch wapate elim ya kutosha kutoharib mazingira

Na wote waliopiga wananch ktk opereshen Tokomeza wawajibike

Chapisha Maoni

0 Maoni