Alhamisi, 7 Novemba 2013

Ziara ya Viongozi UVCCM wilayani Bunda.

Picha hizi ni Jana ambapo viongozi walikuwa Kata ya Kisorya wilani Bunda, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Wilaya UVCCM Ndg. Fravian Joseph.
 Mwenyekiti wilaya ya Bunda ndugu Fravian akivishwa Skafu na Kijana kijana waChipukizi baada ya kuwasili Kata ya Kisorya.
 Vijana wengi sana wa Kisolya waliludisha Card/Kadi za CHADEMA na Kuchukua za CCM hapa ni Mwenyekiti wa Wilaya Bunda akiwagawia Kadi za CCM vijana hao zaidi ya 30.
 Mwenyekiti waBunda ndugu Fravian akisikiliza kwa makini Hotuba toka kwa uongozi wa UVCCM Kisorya Jana.
 Kijana wa Chipukizi akiandaa Skafu ili kumvika Kamanda/ Mwenyekiti Bunda.
 Meza Kuu ya Viongozi UVCCM na Kisorya na Viongozi toka Wilayani.
 Vijana Shupavu wa Chipukizi toka Kisorya wakionyesha Ukakamavu wao mbele ya Mwenyekiti Bunda.
 Inapendeza sana kuona Vijana wadogo na wako shupavu. KIDUMU CHAMA.
 Mwenyekiti Bunda akihutubia mkutano Kisorya
 Kijana Shupavu mbele ya Mwenyekiti Bunda Ndugu Fravian Joseph
 Ndugu Fravian Joseph Mwenyekiti akijibu maswali toka kwa Wajumbe


 Zikigawiwa Kadi za Chama cha Mapinduzi baada ya Kadi za Chadema kurudishwa.
Hongera sana Kijana kwa Kuchukua Card ya CCM ulitumikie Taifa lako kwa Kulitetea Kusema Haki na Ukweli. kwani Kusema uongo kwetu ni Mwiko.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu