Jumapili, 1 Desemba 2013

UVCCM wakipambana na Gonjwa Ukimwi 1 December


 Muziki una raha yake bana
 Wananchi wakifuatilia burudani mbalimbali
 Katibu wa hamasa na Chipukizi UVCCM Taifa, Paul Makonda na Mweka hazina UVCCM Taifa, Deogratius Dafi
 Rasta Man, vijana wa reggea wakitumbuiza kwenye tamasha hilo la Ukimwi
 Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (wa pili kutoka kulia) akiwa na viongozi mbalimbali wa UVCCM.
Kushoto ni Ndg, Peter Dafi mwakilishi toka Nzega Tabora , Anaefuta ni Melele kutoka makao makuu UVCCM, Mwisho ni Paul Makonda Mpambanaji nani Katibu wa Hamasa na Chipukizi UVCCM Taifa
 Mkuu wa Idara Oganaizasheni na siasa UVCCM Taifa, Zainabu Katimba, Mwanakamati na Kada wa Tamasha la Ukimwi, Peter Dafi na Mjumbe Baraza kuu UVCCM Taifa, Halima BulemboHii Sound ya Kufa mtu kutota kwa Ndugu yetu Erick Shigongo
 Muziki ukiwekwa sawasawa tayari kwa makamuzi

 Wazee wa pamba moto
 Mpiga gitaa wa Vijana Jazz akifanya mambo yakeShare this article 
 
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu