Jumatatu, 2 Desemba 2013

Wasanii kama LINNAH, BARNABA, STAMINA, RECHO WAPAMBA TAMASHA LA UKIMWI LA UVCCM BIAFRA KINONDONi

Linnah akiwa jukwaani na mmoja wa mashabiki wake
Recho
Mashabiki wakicheza wakati wa tamasha hilo
Barnaba Boy
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis akihutubia wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Biafra Kinondoni kushuhudia tamasha la Ukimwi lililoandaliwa na UVCCM.
Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa, Mboni Mhita akizungumza na mamia ya wananchi waliohudhuria tamasha hilo
Water Chilambo akifanya yake jukwaani
Wananchi wakifuatilia burudani bandika bandua kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwemo Barnaba, Recho, Linnah, Stamina, Makomando na bendi ya Vijana Jazz


Hakika hii ni Historia kwa Vijana wa Dar es salaam lakini hata UVCCM pia, Uwingi wa watu unaonyesha wazi kuwa walielewa somo mapema nandomaana wamekuja viwanjani na Kupima pia kwa Uwingi sana.
Mkuu wa Utawala UVCCM Taifa, Omar Ng'wanang'walu akipima virusi vya Ukimwi wakati wa tamasha hilo ambalo pia taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa zilishiriki katika kutoa huduma za upimaji wa virusi vya ukimwi kwa hiari.
Katibu wa Hamasa na Chipukizi UVCCM Taifa, Paul Makonda akifafanua jambo kwa waandishi wa habari
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis akizungumza na waandishi wa habari
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis (wa kwanza kushoto) akipata maelezo ya namna upimaji wa afya unavyofanyika

Viongozi Wakuu UVCCM, Mboni kushoto na Sadifa katikati Kukia mama akiwapa Maelekezo kuhusu kuchangia Damu salama.

Nyomi la wanadaresalaam wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Mwenyekiti Sadifa, Viwanja vya Biafra vilitapikaaaaaa
Meza kuu: Kutoka kushoto, Mkuu wa Idara Oganaizasheni na Siasa UVCCM Taifa, Zainabu Katimba, Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa, Mboni Mhita, Mwenyekiti UVCCM Taifa, Sadifa Juma Kahmis na viongozi wengine wa UVCCM.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu