Unordered List


WAZIRI WA ARTHI, MAKAZI NA NISHATI MHE. RAMADHAN SHAABAN AFUNGUA JENGO LA OFISI(ZANZIBAR)



WAZIRI WA ARDHI, MAKAZI NA NISHATI MHE. RAMADHAN SHAABAN AFUNGUA JENGO LA OFISI(ZANZIBAR)

za_9189d.jpg
 Waziri wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe. Ramadhan Shaaban akikata utepe wakati akifungu Jengo la Ofisi ya Kitengo Shirikishi cha Afya ya mama na mtoto kiliopo Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar, ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

zb_96062.jpg
 Mdhamini wa kitengo Shirikishi Afya ya Mzazi na Mtoto Dkt. Ali Omar Ali akimfahamisha kitu Waziri wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe. Ramadhan Shaaban alipokua akikagua jengo hilo mara baada ya kulifungua huko Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
zc_8fa69.jpg
Baadhi ya wageni walikwa waliohururia katika ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Kitengo Shirikishi cha Afya ya mama na mtoto huko Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
zd_27477.jpg
Waziri wa Afya Juma Duni Haji akimkaribisha mgeni rasmin Waziri wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe. Ramadhan Shaaban azungumze na wageni waalikwa katika sherehe za ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Kitengo Shirikishi cha Afya ya mama na mtoto huko Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
ze_f1271.jpg
Waziri wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe. Ramadhan Shaaban akiwahutubia wageni walikwa katika ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Kitengo Shirikishi cha Afya ya mama na mtoto liliopo Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar, ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Chapisha Maoni

0 Maoni