• UVCCM TAIFA

  SAUTI YA VIJANA,SAUTI YA UMMA.CCM MPYA,TANZANIA MPYA.

 • UVCCM TAIFA

  MWAKA MMOJA WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO.

 • This is default featured slide 3 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

 • This is default featured slide 4 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

 • This is default featured slide 5 title

  Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

Jumatano, 31 Desemba 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA MABALOZI WA URUSI, CANADA NA ALGERIA

unnamed
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Alexander Rannkikh, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 30, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR
unnamed1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Alexander Rannkikh, baada ya mazungumzo yao alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 30, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR
Share:

TAARIFA YA UFAFANUZI WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Katika gazeti la NIPASHE la Jumatatu tarehe 08 Desemba, 2014 ziliandikwa habari kuhusu Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb) chini ya kichwa cha habari “Wanaomtetea Muhongo Wajibu haya”. Hoja zilizotolewa katika gazeti hilo zililenga kupotosha ukweli. Wizara inapenda kutoa maelezo kuhusu hoja zilizotolewa kama ifuatavyo:
Utendaji wa Wizara chini ya Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb)
Taarifa za gazeti hilo zilieleza kuwa utendaji wa Wizara ya Nishati na Madini hasa katika uongozi wa Waziri Muhongo umekuwa ni wa kukatisha tamaa. Moja ya mifano iliyotolewa ni kuendelea kuwepo kwa wachimbaji madini wanaozidi kutorosha madini kwa nia ya kukwepa kodi. Hoja hii haina ukweli wowote kwani chini ya uongozi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo (Mb) utendaji wa Wizara umeimarika kwa kiasi kikubwa. Chini ya Uongozi wake kumekuwepo na uwajibikaji mkubwa kwa watumishi wa wizara ili kuhakikisha kuwa wanawatumikia wananchi ipasavyo. Ni katika kipindi chake kumekuwepo na uanzishwaji wa madawati ya ukaguzi wa madini katika viwanja vikubwa vya ndege vya JNIA, KIA na Mwanza chini ya Wakala wa Ukaguzi wa madini (TMAA) ili kudhiditi wachimbaji madini na watu wengine wenye nia ya kutorosha madini nje ya nchi bila kuzingatia sheria. Kutokana na hatua hiyo madini mbalimbali yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 15 yameweza kukamatwa. Madini yaliyokatwa bila kuwa na vibali halali
Share:

RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA SHEIKH ALI MZEE KOMORIAN KARIAKOO, DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu SheikhAli Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian
alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumapili
Desemba 29, 2014
Share:

Jumanne, 30 Desemba 2014

MVUA KUBWA ILIYONYESHA LEO MAENEO KADHAA YA JIJI LA DAR ES SALAAM IMESABABISHA USUMBUFU KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR

MVUA INAYONYESHA LEO JIJINI DAR ES SALAAM IMEZUA BALAA
Share:

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KATA ZA MWENGE NA MATOPENI KATIKA WILAYA YA LINDI MJINI PIA AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Lindi Mjini na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Mwenyekiti wa CCM wa Tawi la Kilimahewa lililoko katika Kata ya Mwenge Ndugu Mohammed Madodo mara baada ya kuwasili katika Tawi hilo kwa ajili ya mkutano na viongozi wa Tawi tarehe 28,12.2014.
Share:

MAAFISA, ASKARI NA WATUMISHI RAIA WA JESHI LA MAGEREZA WAPATIWA MAFUNZO YA JINSIA, ROMBO GREEN VIEW HOTEL - JIJINI DAR ES SALAAM

Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akitoa hotuba fupi kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Magereza katika Ufunguzi wa Mafunzo ya Jinsia kwa Maafisa, Askari na Watumishi raia wa Jeshi la Magereza, leo Desemba 29, 2014 katika Ukumbi wa Rombo Green View Hotel. Mafunzo hayo yanafanyika kwa siku mbili ambapo yatafungwa rasmi kesho Desemba 30, 2014(kushoto) ni Mkuu wa Magereza Mkoani Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Kato Rugainunura(wa pili kulia) ni Mkuu wa Magereza Mkoani Tanga, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Augustino Mboje(kulia) ni Mkuu wa Mafunzo ya Kijeshi wa Magereza, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Mbarak Semwenza.
Baadhi ya Maafisa, Askari na Watumishi raia wa Jeshi la Magereza wanaoshiriki Mafunzo ya Jinsia katika Ukumbi wa Rombo Green View Hotel wakisikiliza hotuba ya Mgeni rasmi. Mafunzo hayo yanafanyika kwa siku mbili ambapo yatafungwa rasmi kesho Desemba 30, 2014.
Share:

MBUNGE WA MOROGORO MJINI AZIZ ABOOD AENDELEA KUTEKELEZA AHADI ZAKE KATIKA KATA MBALIMBALI

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akiwasikiliza Viongozi wa CCM wa Kata ya Konga wakati wa Ofisi ya kata hiyo Mara baada ya Mh Mbunge Kufanya Ukaguzi hiyo Na Kuahidi kutoa Msaada wa Bati 100 Kwajili ya Kumalizia Ujenzi wa Ofisi hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akitoa maagizo kwa Mtendaji wa Kata ya Konga Kutafuta Eneo la Ujenzi wa Shule Hiyo haraka Iwezekanavyo.Mh Abood amemuagiza Mtendaji huyo ndani ya mwezi
Mmmoja wa amepata Eneo la Ujenzi wa Shule na Ujenzi Uanze Mara Moja Ambapo Mh Mbunge Amechangia Shilingi Milion 5 za Kuanza Ujenzi Huo .
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akiongea na Wato wa Kata ya Kauzeni  mara baad ya Kuwasili katika Kata hiyo kwajili ya Kusikiliza Kero Zinazowakabili wakazi wa Kata Hiyo.
Share:

Jumatatu, 29 Desemba 2014

NYALANDU ATANGAZA RASMI KUWANIA URAIS 2015

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazalo Nyalandu alisalimia wananachi baada ya kuwasili na mkewe Faraja Kota kwenye Mkutano wa jimbo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Michezo wa Ilongelo, jimboni humo (Picha na Bashir Nkoromo)
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazalo Nyalandu alisalimia wananachi baada ya kuwasili na mkewe Faraja Kota kwenye Mkutano wa jimbo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Michezo wa Ilongelo, jimboni humo
Share:

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KATA ZA MBANJA

Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama cha Mapinduzi anayewakilisha Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akiongea na vijana na wananchi mara baada ya kuzindua rasmi shina la wakereketwa Zahanati Kempu lililoko katika Kata ya Rasibura 
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM anayewakilisha Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akizungumza na viongozi wa Tawi la CCM la Mbanja. Mama Salma alitembelea tawi hilo jana kwa ajili ya kukagua kazi ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi.
Baadhi ya wajumbe wa Tawi la Chama Cha Mapinduzi Mabano katika Kata ya Mbanja wakifurahia hotuba ya Mjumbe wa NEC Taifa wa Lindi Mjini Mama Salma Kikwete wakati alipotembelea Tawi hilo.
Katibu wa Shina la Wakereketwa Zahanati Kempu Ndugu Hidaya Chivi Ali akikabidhi risala ya wanachama wa Shina hilo kwa Mjumbe wa NEC Taifa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Share:

NAIBU WAZIRI MHE. JANUARY MAKAMBA AZINDUA KUNDI LA KAONE SANAA GROUP DAR LIVE

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe. January Makamba akiongea na wasanii....
   
Akiwa pamoja na wasanii 
Share:

TASWIRA MBALI MBALI KATIKA MTANANGE KATI YA YANGA NA AZAM FC UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO

 Kikosi cha timu ya Azam FC kilichoanza mechi ya leo.
 Kikosi cha timu ya Yanga.
Share:

Jumapili, 28 Desemba 2014

TAARIFA KAMILI YA BOMU LILILOLIPULIWA SONGEA NA KUUA MLIPUAJI

Kamanda wa polisi Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela akitoa

maelezo kwa DCP Diwani Athumani ambaye aliwasili mkoani humo jana
kwaajiri ya bomu la kutengenezwa kienyeji ambalo askari wa doria
walinusurika kurushiwa na kumlipukia mlipuaji wa bomu hilo ambaye
alifariki papo hapo.


Askari WP Mariam mwenye namba 8616 akiwa amelazwa wodi ya

majeruhi hospitali ya Mkoa baada ya kujeruhiwa mkono wa kushoto kwenye
bega baada ya vipande vya bomu kumfikia akiwa na askari wenzake kwenye
doria siku ya sikukuu ya krisimas.

  Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akiuangalia mwili wa

mtuhumiwa wa ulipuaji wa bomu ambaye alitaka kuwarushua askari wa
doria wakati wa sikukuu ya krismas kwenye chumba cha kuhifadhia maiti. (PICHA NA AMON MTEGA ,SONGEA)
Share:

Jumamosi, 27 Desemba 2014

FREDRICK SUMAYE: KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA

1Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama  Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha mungu na kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi  yanayofanyika  kuombea taifa la Tanzania yapokelewa  na Mungu, Tamasha hilo kesho linaendelea mkoani Iringa ambapo wakazi wa mjini Iringa wanapata nafasi nyingine ya kumcha mungu kwa njia ya uimbaji (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBEYA ).2Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana Katibu wa Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), David Mwasota kushoto ni  Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw Alex Msama
3Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akizindua albam ya Kwaya ya Umoja wa Kwaya ya makanisa mbalimbali jijini Mbeya  yenye inayoitwa Mubhopege Pa Finganilo yenye nyimbo nane  kulia ni Katibu wa Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), David Mwasota na kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw Alex Msama.4Katibu wa Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), Askofu David Mwasota akiiombea albam ya Mubhopege Pa Finganilo ya Kwaya ya Umoja wa Kwaya ya makanisa mbalimbali jijini Mbeyahuku Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye,Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw Alex Msama na mmoja wa waratibu wa tamasha la Krismas Bw. John Melele wakishiriki katika maombi hayo.5Mwimbaji wa muziki wa injili Upendo Nkone akifanya vitu vyake kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya wakati wa tamasha la Krismas leo.6Mwimbaji Ambwene Mwasongwe naye amesifu na kuabudu pamoja na mashabiki wake kama anavyoonekana akiwa jukwaani.7Mwimbaji Ambwene Mwasongwe naye amesifu na kuabudu pamoja na mashabiki wake kama anavyoonekana akiwa akitunzwa na mashabiki wake wakati akiimba jukwaani.10Tumaini Njole na wacheza shoo wake wakiwa angani wakati wakifanya vitu  vyao jukwaani.13
Upendo Kilahiro naye akafanya mabo makubwa mbele ya mashabiki wake wa muziki wa injili kama anavyoonekana jukwaani akiimba.11Mashabiki walishindwa kukaa chini wakati wote wa tamasha.14Mwimbaji Joshua Mlelwa akikonga nyoyo za mashabiki wake kwa uchezaji wake jukwaani.15Mwimbaji Joshua Mlelwa akikonga nyoyo za mashabiki wake kwa uchezaji wake jukwaani.17Mashabiki wakipata taswira  kwa simu zao huku burudani ikiendelea.18Mwimbaji Emmanuel Mgogo naye amefanya mambo makubwa sana katika tamasha hilo.20Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akizungumza na mashabiki wa muziki wa injili.21Mwimbaji Joshua Mlelwa akikonga nyoyo za mashabiki wake kwa uchezaji wake  na wacheza shoo wake huyu amekuwa pia akifanya maonesho kama haya Ulaya na Marekani ..22Edson Mwasabwite kulia ni Faraja Ntaboba kutoka DRC Congo wakionyesha vitu vikubwa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.23Mwimbaji kutoka Kenya Ritha Kisava ambaye ameshiriki Tamasha la Krismas kwa mara ya kwanza akiimba hii ilikuwa kama utabulisho wake kwa mashabiki wa muziki wa Injili nchini Tanzania.
Share:

LOWASSA AMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI WA ZAMANI, MH. ALI AMEIR MOHAMED

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na Waziri waMambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali Ameir Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichaviani,

Jimbo la Donge, Zanzibar.Mh. Lowassa yuko visiwani Zanzibar kwa mapumziko ya Krismasi.
Share:

Ijumaa, 26 Desemba 2014

WAZIRI MUHONGO AANZA ZIARA YA SIKU 6 MKOANI MARA KUTEMBELEA MIRADI YA UMEME

Waziri wa Nishati na Madini akiulizia utekelezaji wa umeme katika kijiji cha Kamgendi katika siku yake ya kwanza ya siku 6 za ziara katika Wilaya zote za Mkoa wa Mara
Meneja wa TANESCO mkoani Mara, Henry Byabato (kulia) akifafanua usambazaji wa umeme vijijini katika mkoa huo
Share:

Alhamisi, 25 Desemba 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAAGA WATOTO WENYE MATATIZO YA MOYO KWENDA KUTIBIWA INDIA.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Desemba 26, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ya kuwaaga jumla ya watoto 55 wenye matatizo ya ugonjwa wa Moyo kati ya 104, waliofadhiliwa na Lions Club ya jijini, kwa ajili ya kwenda kutibiwa nchini India. Watoto hao 55 wa awamu ya kwanza wanaanza kuondoka nchini leo.
 Rais wa Lions (Host) Club ya Dar es Salaam, Mathew Levi, akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwaaga watoto 55 wenye matatizo ya ugonjwa wa Moyo kati ya 104, kwa ajili ya kwenda kutibiwa nchini India. Watoto hao 55 wa awamu ya kwanza wanaanza kuondoka nchini leo. 
Share:

Jumatano, 24 Desemba 2014

PINDA AKUTANA NA KIONGOZI WA KAMPUNI YA GESI YA QATAR NA KUTEMBELEA ENEO LA UJENZI WA BANDARI MPYA YA QATAR

01
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw. Otty Msuku ambaye ni Mtanzania , Mtalaamu wa upimaji ardhi katika mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa bandari hiyo akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 22, 2014. Katikati ni Mkurugenzi mwendeshaji wa Mradi huo, Don Morrison.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
02
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar, Bw. Yusuf Ahmad Al Hammadi wakati alipotembelea eneo inapojengwa bandari hiyo kubwa na yakisasa akiwa katika ziara ya kikazi nPhini humo Desemba 22, 2014.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu