Jumatano, 8 Januari 2014

Dk, HAMISI KIGWANGALLA ABEBWA JUU KWA JUU KWA KUZUIA MABILIONI YA MGODI NZEGA (TZS 2.452 bn)

Wananchi wa Nzega hapo Juzi waliandamana na Mbunge wao Huku wakiwa wamembeba Juu kwa Furaha wakiwa wanamuimbia na kumshangiria kwa Ushujaa na Ujasiri wake wakupigania wana Nzega.

"Wananchi wa Nzega zaidi ya 1000 wamesaini azimio letu la mkutano wa hadhara uliofanyika juzi kupinga azimio juu ya azimio lililopitishwa na Baraza la madiwani kutaka kuzigawanya pesa za Resolute kwenye kila kata, ambapo tayari baadhi ya madiwani wasio waadilifu wamejipanga kuzila pesa hizi kutokana na historia ya matumizi ya pesa za mfuko wa jimbo ambapo wengine hawakutekeleza miradi iliyokusudiwa na walizila tu! alisema HK.
 Moja kati ya Mabango hayo linasema " TUNAUNGA MKONO MAWAZO YA MBUNGE, FEDHA HIZO KUNUNUA VIFAA KWA AJILI YA MAENDELEO YA WANANZEGA" hakika wananchi wa Nzega wamechaluka duuuu
 Unaweza Kuona Wananchi wa Nzega waliwa ktk MaandamanoKutoka Mjini, Katikati ya Mji na kuelekea Mahakama ilipo Bomani wilayani Nzega, Wakiwa wamebeba Mabango yenye Jumbe tofauti tofauti Kupinga Madiwani kutaka kugawana pesa hizo na kumuunga Mkono mbunge! Pesa hizo zitumike Kununua Vifaa vya Ujenzi wa Barabara na vifaa vingine vya maendeleo ya Nzega....!!
 Hapa ni katika Moja ya Vikao hivo vya Hadhara vya Mbunge na Mwenyekiti wa TAMISEMI alivyofanya Nzega, ktk Moja ya taratibu za Kuelimisha wananzega kuhusiana na Pesa hizo
Mbunge Kigwangalla akiwa Kabebwa Juu juu na Wana Nzega Baada ya Maandamano ya juzi baada ya mkutano wa hadhara viwanja vya parking Nzega kupinga maamuzi ya kuzigawana pesa za ushuru wa huduma TZS 2.452 bn, Wananchi waliandamana na Mbunge Dk, Hamisi Kigwangala Mpaka Bomani ilipo Mahakama!
 "Kwa kuwa nilianza Ubunge na Mungu, nina hakika nitamaliza naye. Mahakama imetupa ushindi kwenye kesi ya kwanza iliyosikilizwa exparte"! Alisema Kigwangalla nilipokuwa nikizungumza nae hapo Jana!
Habari hii ilitoka ktk Gazeti la UHURU la Jana pia
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu