Unordered List


KAMATI MAALUM YA CCM YAKUTANA MJINI ZANZIBAR

 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi, pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja jana, kuhudhuria katika Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana,(kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai
 Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakifahamishana jambo wakati wa kikao cha siku moja cha  Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
 Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, katika  Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
 Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakipitia mada mbali mbali zilizoingizwa katika makbrasha waliyopewa katika kikao kilichofanyika jana katika ukumbi Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi, pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana, Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja, (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi, pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akizungumza na wajumbe wa  kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana, Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja, (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai. [Picha zote na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Chapisha Maoni

0 Maoni