Unordered List


RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA MNARA WA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Ujenzi   wa Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, katika viwanja vyaKisonge Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Bw. Habib Nuru mshauri wa Ujenzi wa kampuni ya Hab Consult ya Dar es Salaam,baada ya kuweka jiwe la msingi Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Kisonge,Michenzani Mjini Unguja leoasubuhi.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi   Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Kisonge,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.
 Wananchi naa wanachama wa CCM Jimbo la Mpendae wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.
 Wafanyakazi wa ZSSF,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.
 Baadhi ya wananchi na Viongozi wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Kisongo,Michenzani Mjini Unguja leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, katika viwanja vya

Chapisha Maoni

0 Maoni