Jumamosi, 15 Machi 2014

KINANA AINGIA KWA KISHINDO KALENGA LEO, AMNADI MGIMWA KWA MAMIA YA WANANCHI WA MAGULILWA Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea ubunge jimbo la Kalenga kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, katika mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi katika Kijiji cha Magulilwa, jioni hii.
 Kinana akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba kabla ya kumnadi Mgimwa  kwenye mkutano huo leo jioni
 Maelfu ya wananchi wa Magulilwa wakinyoosha mikono kuahidi kumchagua Mgimwa, Kinana akipohutubia mkutano wa kampeni kwenye kijiji hicho leo jioni
 "Rahis kusema, Vigumu kutenda, CCM inatenda wapinzani wanasema tu chochote hata uongo kwa sababu kusema ni rahisi, achaneni nao", akisisitiza Kinana wakati akihutubia wananchi wa Kijiji cha maguliwa jioni hii kumnadi Mgimwa.
 Kinana akiwasalimia kwanza wananchi waliofurika kwenye mkutano huo, huku Mwigulu(kushoto) akimsikiliza baada ya kumkaribisha jukwaani Kinana
 Mwigulu akihutubia mkutano huo kabla ya kumkaribisha Kinana
 Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Mwigulu kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akishauriana jambo na Katibu wa CCM mkoa huo Hasani Mtenga. Picha zote na Bashir Nkoromo wa CCM Blog
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu