Jumamosi, 22 Machi 2014

RAIS WA ZANZIBAR DKT. MOHAMMED SHEIN AZINDUA MATEMBEZI YA UVCCM KUSHEREKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO DODOMARais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba  alipowasili katika viwanja vya Makamo Makuu ya CCM Mjini Dodoma leo,kuzindua matembezi ya UVCCM katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, akibonyeza kitufe  kuashiria uzinduzi wa matembezi ya vijana katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania,uzinduzi huo uliofanyika leo katika viwanja vya Makao Makuu ya CCM Dodoma
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis (kushoto) na Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo Sixtos Mapunda wakipeperusha bendera za Muungano na CCM wakati wa uzinduzi wa matembezi ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania yaliyozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,Mjini Dodoma 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza matenbezi ya Umoja wa Vijana UVCCM yaliyoanzia Makao Makuu ya CCM Dodoma, (wa pili kushoto) Makamo wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,(wa pili kulia) na Mama Asha Balozi(kulia) 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Vijana wa UVCCM Mkoa Dodoma  katika viwanja vya Makamo Makuu ya CCM Mjini Dodoma leo,akizindua matembezi ya UVCCM katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania,
 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis akisisitiza jambo alipokuwa akimakaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, alipozungumza na Vijana wa UVCCM wakati wa uzinduzi wa matembezi ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungao wa Tanzania katika viwanja vya Makao Mkuu Mjini Dodoma leo, 
 Vijana wa UVCCM Mkoa wa Dodoma wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, alipozungumza nao wakati wa uzinduzi wa matembezi ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungao wa Tanzania katika viwanja vya Makao Mkuu Mjini Dodoma leo, 
 Vijana wa UVCCM Mkoa wa Dodoma wakinyanyua mikono juu kuunga mkoo msimamo wa CCM wa Serikali mbili wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, alipozungumza nao leo akizindua matembezi ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungao wa Tanzania katika viwanja vya Makao Mkuu Mjini Dodoma,(Picha na Ramadhani Othman).
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu