Jumamosi, 5 Aprili 2014

RIDHIWANI AFUNIKA APATA NYOMI LA KUTOSHA MIONO

  • Dk.Shein asema Ridhiwani ana sifa zinazokidhi,ana Nidhamu,Uadilifu,na Uwezo wa kuongoza
  • Asisitiza juu ya msimamo wa Serikali Mbili
  • Asema Muungano ndio msingi mkubwa wa Taifa letu
  • Asema moja ya manufaa na umuhimu wa muungano ni undugu wa damu tuliokuwa nao.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar Dk.Mohamed Shein akimnadi mgombea wa Ubunge wa CCM Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete kwenye mkutano wa kufunga kampeni uliofanyika Miono.
  Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar Dk.Mohamed Shein akimsalimi mgombea wa Ubunge wa CCM Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete wakati akiwasili  kwenye mkutano wa kufunga kampeni uliofanyika Miono.
 Mama Salma Kikwete akimsalimia mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM kwenye viwanja vya shule ya Kikaro ambapo kampeni hizo zilihitimishwa.
 Mamia ya watu waliofurika kwenye mkutano wa mwisho wa kampeni za CCM uliofanyika Miono wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye alipokuwa anahutubia.
 Sam wa Ukweli akitumbuiza wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika Miono,Chalinze.
Ridhiwani Kikwete mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze akicheza na wasanii maarufu wa mkoa wa Pwani wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika Miono.
 Miono ilivyofurika
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu