Unordered List


CHADEMA YAZIDI KUSHUKA KISIASA JIMBO LA IRINGA MJINI, MBUNGE NA VIONGOZI WAKIMBIA MKUTANO WA WANAFUNZI



Huu ni mkutano ulioandaliwa na wanafunzi wa vyuo  vikuu Iringa ambao ni wanachama wa chadema ambao mbunge Msigwa alipaswa kuwa mgeni rasmi jana katika uwanja wa Mwembetogwa ila hakufika kabisa 
Kushuka na kupanda kwa mbunge Msigwa  jimbo la Iringa mjini hii ni dalili mbaya kuliko  uwanja  wa mwembetogwa ambao kila wakati watu wamekuwa wakijaa sasa hakuna tena 
Viongozi wa wanafunzi  wakihutubia wananchi wachache wengi wao wakiwa wanachuo wenyewe wana Chadema
diwani Frank Nyalusi ni kiongozi pekee aliyefika huku katibu wa chama hicho wilaya na mbunge walishindwa kufika mbali ya kualikwa 

Chapisha Maoni

0 Maoni