Ijumaa, 2 Mei 2014


Wanaharakati nchini Syria wanasema kuwa jeshi la serikali limetekeleza shambulizi la hewani katika soko moja lilikoko katika sehemu inayothibitiwa na waasi Aleppo. (J M)
Read more...

Maafisa nchini Colombia bado wanajaribu kuwanusuru takriban watu thelathini waliozikwa wakiwa hai na mamia ya tani ya tope pamoja na mawe baada ya mgodi haramu wa dhahabu kuporomoka usiku wa jumatano. (J M)
Read more...
Photo: Naelekea mkutanoni, asubuhi hii..
Naelekea mkutanoni, asubuhi hii..
Photo: What is the meaning of freemedia?
At this moment, Al Amin Yusuph of Unesco is presenting a paper on how free media contribute to Good Governance, Empowerment and Eradicating Poverty...
Photo: Mjengwablog.com
What is the meaning of freemedia?
At this moment, Al Amin Yusuph of Unesco is presenting a paper on how free media contribute to Good Governance, Empowerment and Eradicating Poverty... Photo: Mjengwablog.com
Photo: Arusha inaamka mapema..
Leo asubuhi.
Arusha inaamka mapema..Leo asubuhi. (FS)

Photo: Oh! 0h!...kuzuia tairi kwa jiwe sawa, lakini mbwa naye apoamua kujitoa muhanga inathibitisha kuwa mwanadamu kuitwa mbwa ni tusi...
Oh! 0h!...kuzuia tairi kwa jiwe sawa, lakini mbwa naye apoamua kujitoa muhanga inathibitisha kuwa mwanadamu kuitwa mbwa ni tusi...Maggid
(J M)
Photo: Good morning Arusha, Good morning The World. .!
Kaloleni, Arusha, this morning.
Photo: Mjengwablog.com
Good morning Arusha, Good morning The World. .!
Kaloleni, Arusha, this morning.
Photo: Mjengwablog.com (J M)
CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimetaka serikali kuondoa vikwazo vya kisheria na kanuni zinazozuia uwazi na utoaji wa habari.
Read more...
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, amewaasa waumini wa madhehebu ya dini nchini kufanya ibada mara kwa mara ili taifa liweze kupata kiongozi anayetokana na Mungu katika uchaguzi mkuu 2015.
Read more...
Photo: Kusanyiko la wanahabari Arusha...
Muda huu.
Photo
Photo: Kongamano limeanza hapa aicc arusha
Kusanyiko la wanahabari Arusha... Katika maadhisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari yanayoendelea mjini Arusha kwenye ukumbi wa AICC 
Muda huu. (J M)
1_c979d.jpg
Askari wa Kashai Security Guards wakionyesha namna mbwa anavyokamata wahalifu.
Na Mwandishi Wetu, Arusha
MATUKIO matatu ya milipuko ya mabomu yaliyotokea katika Jiji la Arusha ndiyo yaliyotawala Sherehe za Mei Mosi jijini hapa ambapo wafanyakazi wamesema yanawatia hofu hata katika uwajibikaji.
Wakizungumza katika risala yao, wafanyakazi hao walisema kwa kuwa matukio hayo yanatokea bila kutarajia, wakazi wengi wa jiji hilo hawana amani na kwamba wafanyakazi nao wanashindwa kutimiza wajibu wao.
"Ndugu zetu, wafanyakazi wenzetu wamepoteza maisha na wengine wamejeruhi kwa milipuko hii, tunashindwa kufanya kazi kwa amani kwa sababu hatujui ni wapi yatakapotokea tena," walisema.
Mbali ya kuiomba serikali ifanye jitihada kuzuia matukio hayo, wafanyakazi hao wamehoji ni wapi vijana wa Jeshi la Mgambo wanapelekwa baada ya kuhitimu mafunzo yao, kwani jeshi hilo ni muhimu katika ulinzi wa taifa.
Walisema ingawa vijana wengi wanahitimu mafunzo, lakini hakuna mahali popote ambako wanapelekwa kufanya kazi, jambo ambalo linadidimiza uchumi wa nchi na kuwanyifa vijana hao fursa za ajira.
"Tunaihoji serikali, ni wapi hata vijana hawa wanapaswa kuripoti, maana hakuna hata ofisi ambayo inashughulika na mgambo hawa," walisema.
Mgeni rasmi katika sherehe hizo, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo, alisema kwamba mabomu yaliyolipuliwa siyo ya kigaidi bali yametengenezwa kienyeji.
Alisema vyombo vya usalama kwa kushirikiana na vile vya kimataifa vimebaini kwamba bomu lililolipuliwa kwenye baa ya Arusha Night Club halikuwa la kigaidi, bali limetengenezwa kienyeji na kwamba yawezekana miongoni mwa Watanzania wapo wenye nia mbaya ya kuua wenzao.
"Interpol wametuambia wazi kwamba, wamechunguza na kuona bomu hilo siyo la kigaidi, ni la kienyeji, hivyo wametuambia tuulizane wenyewe ni akina nani wenye mchezo huo mchafu," alisema.
Hata hivyo, sherehe hizo zilipambwa na matukio mbalimbali yakiwemo maonyesho ya mbwa wanaofunzwa kukamata wahalifu pamoja na dawa za kulevya.
HOFU YA MABOMU YATAWALA MEI MOSI ARUSHA
(MNYAMA)


WANANCHI wa Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wameiomba Serikali kusaidia kukiwezesha Kituo cha Afya Simambwe ili kifanye kazi saa 24 ili kuwasaidia muda wote wananchi wanaohudumiwa na kituo hicho hasa wajawazito.
Read more...
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu