Alhamisi, 15 Mei 2014

KINANA ACHANJA MBUNGA HADI WILAYANI SIKONGE, AHUTUBIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA BAADA KUTEMBELEA KIJIJI CHA VIJANA WAJASIRIAMALI

               Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara, uliofanyika leo, Mei 14, 2014, kwenye Uwanja wa CCM wilaya ya Sikonge, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM huku akisikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Tabora
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano huo wa Kinana, kwenye Uwanja wa CCM, Sikonge mkoani Tabora, Mei 14, 2014.
Mbunge wa Sikonge, Saidi Nkumba akieleza utekelezaji wa ilani ya CCM, katika mkutano huo wa Kinana uliofanyika Mei 14, 2014, kwenye Uwanja wa CCM, Sikonge mkoani Tabora

Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akikalia dawati aliloliunganisha baada ya mbao kutayarishwa na mafundi wa kundi la  Vijana walioko kwenye mradi wa kujiajiri kwenye kijiji cha Parth Finders Green City, Sikonge, leo Mei 14, 2014 akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua. Nyuma yake ni Mkuu wa mkoa wa Tabora Fatma Mwassa na Mbunge wa Sikonge saidi Nkumba. Kijiji hicho kina vijana zaidi ya 700 ambao wameamua kijiari kupitia shughuli mbalimbali za uzalishaji mali.
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akisaidiana na kijanakuandaa tumbaku kabla ya kuhifadhiwa  kwenye eneio lingine, Kinana alipotembelea kijiji cha Parth Finders Green City, Sikonge, leo Mei 14, 2014 akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua. Kilimo cha tumbaku ni miongoni mwa shughuli zinazofanywa na vijana kwenye Kijiji hicho.
 Mkufunzi wa Kilimo Goodluck Mnase akimweleza Kinana namna ya kuhifadhi tumbaku, Kinana alipotembelea kijiji cha Parth Finders Green City, Sikonge, leo Mei 14, 2014 akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua. Kilimo cha tumbaku ni miongoni mwa shughuli zinazofanywa na vijana kwenye Kijiji hicho.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Sikonge,  Abisai Mboko akimuonesha Katibu Mkuu wa CCM, Kinana mradi wa mizinga ya nyuki, Kinana alipotembelea kijiji cha Parth Finders Green City, Sikonge, leo Mei 14, 2014 akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua. Ufungaji nyuki ni miongoni mwa shughuli zinazofanywa na vijana kwenye Kijiji hicho.
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akichota udongo kutia kwenye mashine ya ufyatuaji matofali kwa teknolojia ya Hydroform, alipotembelea kijiji cha Parth Finders Green City, Sikonge, leo Mei 14, 2014 akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua. Ufyatuaji matofali kwa kutumia keknolojia hiyo nyuki ni miongoni mwa shughuli zinazofanywa na vijana kwenye Kijiji hicho. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, Abisai Mboko
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akitoa tofali kwenye mashine, baada ya kushiriki ufyatuaji matofali kwa teknolojia ya Hiydroform, alipotembelea kijiji cha Parth Finders Green City, Sikonge, leo Mei 14, 2014 akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipanga matofali baada ya kushiriki ufyatuaji matofali hayo kwa anjia ya teknolojia ya Hidroform, akiwa na katibu mkuu wa CCM Kinana, alipotembelea kijiji cha Parth Finders Green City, Sikonge, leo Mei 14, 2014 akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua.
 Kinana na Nkumba wakipasiana tofali kuwapa mafundi, waliposhiriki ujenzi wa nyumba za kisasa katika kijiji cha Parth Finders Green City, Sikonge mkoani Tabora, Mei 14, 2014.
 Mkuu wa mkoa wa Tabora Fatma Mwasa akibeba tofali kulipeleka mahala pake, baada ya kushiriki ufyatuaji matofali hayo kwa anjia ya teknolojia ya Hidroform, akiwa na katibu mkuu wa CCM Kinana, alipotembelea kijiji cha Parth Finders Green City, Sikonge, leo Mei 14, 2014 akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape akitazama kwa shauku nyumba ilivyojengwa kwa ustadi mkubwa kutumia matofali ya teknolojia ya Hidroform, akiwa na katibu mkuu wa CCM Kinana, aliyetembelea kijiji cha Parth Finders Green City, Sikonge, leo Mei 14, 2014 akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua.i cha vijana wajasiriamali,
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akifuarahia wimbo wa rap, ulioimbwa na Vijana kumlaki, alipotembelea kijiji cha Parth Finders Green City, Sikonge, leo Mei 14, 2014 akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tabora Fatma Mwassa
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Mkuu wa mkoa wa Tabora Fatma Mwassa wakiwa katika picha ya pamoja na vijana hao waliowavurudisha kwa wimbo wa rap.
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana, Nape na Mwasa wakitazama kuku wanaofugwa na kundi la vijana wajasiriamali walioko kwenye mradi wa kujiajiri kwenye kijiji cha Parth Finders Green City, Sikonge mkoani Tabora, Mei 14, 2014
  Katibu Mkuu wa CCM, Kinana,akizungumza na vijana wajasiriamali walioko kwenye mradi wa kujiajiri kwenye kijiji cha Parth Finders Green City, Sikonge mkoani Tabora, Mei 14, 2014
Katibu Mkuu, Kinana akikagua majengo mapya katika shule ya sekondari  Kamagi wilayani Sikonge, leo Mei 14, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM huku akisikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Tabora
Katibu Mkuu wa CCM,  Kinana akizungumza na baadhi ya walimu shule ya sekondari Kamagi Kata ya Misheni wilayani Sikonge, alipokutana nao, wakati alipokwenda kwenye shule hiyo kukagua ujenzi wa madarasa, leo Mei 14, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM huku akisikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Tabora
 Baiskeli za wananfunzi wa shule ya sekondari Kamagi wilayani Sikonge zikiwa zimeegeshwa nje wakati wakiwa wanafunzi hao wakiwa madarasani, leo Mei 14, 2014.
 Mganga Mkuu wa Wilaya ya Sikonge, Dk. Frederick Mtao akimuongoza Kinana kukagua nyumba za watumishi wa hospitali ya wilaya hiyo leo Mei 14, 2014,  Kinana alipokagua nyumba hizo mpya, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM huku akisikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Tabora
Karibu Mkuu wa CCM, Kinana akisalimiana na wanachama wa CCM baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Sikonge, kuzungumza na Kamati ya Siasa ya CCM wilayani humo, na baadaye alihutubia mkutano wa hadhara, leo Mei 14, 2014, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM huku akisikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika mkoa wa Tabora. Picha zote na Bashir Nkoromo-CCM Blog
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu