Unordered List


KINANA ATINGA WILAYA YA MANYONI KUANZA ZIARA YA SIKU NANE MKOANI SINGIDA, MAMIA WAFURIKA MKUTANO WA HADHARA ITINGI

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara, leo Mei 19, 2014, kwenye Uwanja wa Reli, Itigi wilayani Manyoni, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida.
Wananchi wakimshangilia Kinana wakati akihutubia mkutano  hadhara kwenye Uwanja Relini, Itingi wilayani Manyoni Manyoni mkoani Singida., leo Mei 19, 2014.
Wananchi wakimshangilia Kinana wakati akihutubia mkutano  hadhara kwenye Uwanja Relini, Itingi wilayani Manyoni Manyoni mkoani Singida.
Katibu wa NEC, Itukadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja Relini, Itingi wilayani Manyoni Manyoni mkoani Singida, leo Mei 19, 2014.
,Mkuu wa mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja Relini, Itingi wilayani Manyoni Manyoni mkoani Singida, leo Mei 19, 2014.
Mlezi wa mkoa wa singida, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Hadija Aboud akisalimia wananchi katika mkutano huo wa hadhara kwenye Uwanja Relini, Itingi wilayani Manyoni Manyoni mkoani Singida, Mei 19, 2014.
Mbunge wa Manyoni Mashariki, mkoani Singida, John Chiligati akisalimia wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja Relini, Itingi leo. Mei 19, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akisalimia na wananchi bada ya kuwasili Uwanja wa Reli, Itigi kwa ajili ya mkutano huo wa hadhara, leo Mei 19, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akikagua bwawa lililochimbwa na serikali kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji na unyweshaji mifugo katika kijiji cha Itagata, wilayani Manyoni,  mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida, leo Mei 19, 2014. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na baadhi ya viongozi wa Chama mkoa huo.
Kinana akilikagua kwa makini bwawa hilo.
Vijana wakiwa wamejinakshi rasmi wakati wakicheza ngoma za asili kwenye mkutano wa Kinana uliofanyika Kijiji cha Itagata, tarafa ya Itigi leo Mei 19, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa jengo la Chuo cha Ufundi- VETA, cha Jukuia ya Wazazi ya CCM, Kata ya Itagata, Manyoni,  mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida.leo Mei 19, 2014. Aliyebeba tofali kumpa ni Mwenyekiti wa CCm mkoa wa Singida, Mgana Msindai.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), akisaidiwa na Mbunge wa Manyoni Magharibi, Paul Luanje, kuwapa mafundi bati waliokuwa wakipaua, jengo la maabara katika shule ya sekondari  Mgandu, iliyopo katika kijiji cha Kayui Manyoni Magharibi,  mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida, leo Mei 19, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akifukia mti bada ya kuupanda kama kumbukumbu ya kushiriki ujenzi wa jengo hilo la  maabara katika shule ya sekondari  Mgandu, iliyopo katika kijiji cha Kayui Manyoni Magharibi,  mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida, leo Mei 19, 2014.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimagilia maji mwenye mti ambao naye pia aliupanda kwenye shule hiyo kumuunga mkono Kinana.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Manyoni, wakimsikiliza Kinana alipozungumza nao leo,  mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida.
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana, akisalimiana na Mbunge wa Singida Magharibi, Lazaro Nyalandu, wakati wa mapokezi yake baada ya kuwasli mpakani mwa Tabora na Singida,  mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida. Kulia ni Mbunge wa Manyoni Magharibi, Paul Luanje.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora, Hassan Wakasubi, mpakani mwa mkoa huo na Singida, leo Mei 19, 2014. Picha zote na Bashir Nkoromo- CCM Blog

Chapisha Maoni

0 Maoni