Jumamosi, 24 Mei 2014

KINANA AZIDI KUCHANJA MBUNGA SINGIDA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi kwenye Uwanja wa shule ya sekondari Sebuka,  wilaya ya Ikungi mkoani Singida, leo, Mei 22, 2014
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano huo wa hadhara
 Mmoja wa wananchi  mkutano wa Kinana kwenye Kijiji cha Msimi Kata ya Sepuka wilayani Ikungi akiwa na ujumbe wa wananchi wa kata hiyo kutaka serikali mbili, wakati wa mkutano wa Kinana uliofanyika leo, Sepuka
 3. Jengo hili lililoko Kijiji cha Msimi, Kata ya Sepuka wilayani Ikungi, lilifunguliwa maka 2004 na Rais Jakaya Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
 4. Kinana (kulia) akizungumza na wananchi baada ya kushiriki ujenzi wa zahanati, Kata ya Sepuka, Ikungi
 Kinana akishiriki ujenzi wa Ofisi ya CCM Kata ya Ighombwe, wilyani Ikungi. Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nauye
Baadhi ya wanachama wapya wa CCM wakila kiapo baada ya kupewa kadi na Kinana baada ya uzinduzi wa Ofisi ya CCM kata ya Inghombwe wilayani Ikungi
 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape, wakishiriki kuvuna vizi katika shamba la mkulima Bernado Lazaro (kushoto) wa Kata ya Puma, wilayani Ikungi mkoani Singida
 Kinana akizindua shina la wakereketwa la CCM la Puma, wilayani Ikungi. Shina hilo awali lilikuwa na Chadema
 Kinana akizindua shina la CCM la Kina mama washinaji wa Kikundi cha Ebeneza, Puma wilayani Ikungi
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akizindua shina la wakereketwa wa CCM la Vijana waendesha pikipiki Puma, wilayani Ikungi.

Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu