Jumanne, 24 Juni 2014

BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON 2014 YAWA KIVUTIO


 Wakimbiaji wakitimua vumbi katika mashindano ya Bagamoyo Historical Marathon, mjini Bagamoyo, Pwani  jana. Mashindano hayo yaliandaliwa na Kampuni ya 4Beli.
 Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda (katikati) akihutubia wakati akifungunga mashindano ya Bagamoyo Marathon mjini Bagamoyo jana

 
Washiriki wa Bagamoyo  Marathon 2014  mara baada ya kumaliza mbio hizo ambazo kwa wanariadha wengine walikuwa bado wanawasili.

 Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda (katikati) akimpongeza mshindi wa mbio za kilomita 21 wanaume, Ismail Juma. Wengine ni baadhi ya washindi na viongozi wa Kampuni ya 4Beli iliyoratibu mashindano hayo ya Bagamoyo Marathon 2014
 Mwakilishi wa Kampuni ya 4Beli akitoa zawadi kwa mmoja wa washiriki wa mashindano.
 Mwakilishi kutoka Benki ya Posta Tanzania (TPB) ambao walikuwa mmoja wa walidhamini wa mashindano hayo akitoa zawadi kwa washindi.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda Akikabidhi Zawadi kwa Mshindi
Mwenyekiti wa zamani wa Baraza la Michezo la Taifa  Kanali mstaafu  Idd Kipingu akimpongeza Mshindi wa Bagamoyo
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda
Picha ya Pamoja ya Washiriki   Kutoka Kushoto Eligi Albert,Evance Mosha na Thomas Karia Mara baada ya Kumaliza Mbio za KM 10.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu