Unordered List


KATIBU MKUU WA CCM, AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI BI. DIANNA MELROSE


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akimkaribisha kwa furaha, Balozi wa Uingereza hapa nchini, Dianna Melrose, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam,  leo June 9, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, na Balozi  huyo wa Uingereza hapa nchini, Dianna Melrose, wakipena mikono kabla ya kuanza mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, June 9, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Balozi wa Uingereza hapa nchini, Dianna Melrose, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, leo, June 9, 2014. 
 
Picha zote na Bashir Nkoromo-CCM Blog.

Chapisha Maoni

0 Maoni