Unordered List


KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA APAGAWISHA ZANZIBAR

 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM Mh. Sixtus Mapunda akipewa Mkasi kwa ajili ya kuzindua tawi jipya la Umoja wa Vijana kisiwani Zanzibar.
 Naibu Katibu Mkuu UVCCM (Zanzibar) Mh. Shaka Hamdu akimkaribisha Katibu Mkuu wa UVCCM Mh. Sixtus Mapunda.
 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM Mh. Sixtus Mapunda akiongea na Vijana kwenye Mkutano wa Hadhara.
 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM Mh. Sixtus Mapunda, Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana CCM Mh. Shaka Hamdu pamoja na Viongozi wengine waandamizi wa UVCCM Zanzibar wakiapa pamoja na wanachama wapya.
Vijana  wakifuatilia kwa umakini mkutano wa UVCCM Zanzibar.

Chapisha Maoni

0 Maoni