Unordered List


KATIBU WA UVCCM MKOA WA IRINGA AANDA MAAFALI KWA WAHITIMU WA VYUO AMBAO NI MAKADA WA CCM

Moja ya vyeti vya Makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanao hitimu vyuo vikuu.
Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Iringa Kamanda Haidary Alawi akimkaribisha Mgeni rasmi wakati wanaingia Ukumbini.
 Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Iringa  Kamanda Haidary Alawi akibadilishana Mawazo na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Iringa.
 Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Iringa Kamanda Haidary Halawi akitafakari jambo.
Makada wa Chama Cha Mapinduzi ambao ni Wahitimu wakipokea vyeti vyao. 

 Hayo ni mahafali ya pamoja ya vyuo vya IRINGA chini ya ofisi ya UVCCM MKOA wa Iringa

Chapisha Maoni

0 Maoni