Ijumaa, 6 Juni 2014

KATIBU WA UVCCM MKOA WA IRINGA AENDELEZA HARAKATI ZAKE ZA KUWA KOMBOA VIJANA

 Katibu wa Umoja wa Vijana CCM Ndugu Haidary Alawi akiwa na Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana CCM Ndugu Asenga Abubakar katika matembezi ya UVCCM Mkoani Morogoro
 Katibu wa Umoja wa Vijana CCM Ndugu Haidary Alawi akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika wilaya ya Wangingombe Mkoa wa Njombe.
  Katibu wa Umoja wa Vijana CCM Ndugu Haidary Alawi akipanda mti wilaya ya Mufindi kata ya Ihanu Mkoa wa Iringa
 Katibu wa Umoja wa Vijana CCM Ndugu Haidary Alawi akiwa na Mheshimiwa Geofrey Mgimwa Mbunge Jimbo la Kalenga
  Katibu wa Umoja wa Vijana CCM Ndugu Haidary Alawi akibadilishana mawazo na Mheshimiwa Philip Mangula Makamu Mwenyekiti Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara.
 Katibu wa Umoja wa Vijana CCM Ndugu Haidary Alawi akibadilishana mawazo na Mheshimiwa n Mwigulu Nchemba katika  ofisi za CCM Iringa
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu