Jumatano, 25 Juni 2014

MAKAMAU MWENYEKITI WA CCM TAIFA AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA CHINA, JIJINI DAR ES SALAAM

Mkutano na Makamu wa Rais wa China. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mzee Phillip Mangula, Mwenyekiti  wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mh. Abdallah Bulembo na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Mh. Mboni Mhita na katibu mkuu wa Umoja wa Vijana CCM Sixtus Mapunda.

 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula (kushoto) akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao (kulia), leo katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, Makamu huyo wa Rais yupo nchini kwa ziara ya kikazi.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula (kulia) akisisitiza jambo wakati wa  mazungumzo yake na Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao, leo jijini Dar es Salaam.
 Mangula akipa zawadi maalum ya ukumbusho, Makamu huyo wa Rais wa China baada ya mazungumzo yao leo jijini Dar es Salaam.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula na Makamu wa Rais wa China na ujumbe wao wakiwa wamesimama tayari kuondoka ukumbini baada ya mazungumzo yao leo jijini Dar es Salaam.
 Upande wa ujumbe wa CCM wakati wa mazungumzo hayo
 Ujumbe wa China kwenye mazungumzo hayo
Mwandishi wa habari wa siku nyingi na mchambuzi wa masuala ya siasa na Uchumi, Makwaia Kuhenga (kulia) akijadili jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Abdallah Bulembo wakati wa mazungumzo ya Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara ) Philip Mangula na Makamu wa Rais wa China jijini Dar es Salaam, leo. Aliyeketi kushoto ni Mtaalamu wa ,masuala ya Sayansi ya Jamii, Profesa Max Mmuya.
 Picha zote na Bashir Nkoromo-CCM Blog
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu