Home
CCM
Tanzania
Unordered List
Vijana TV
UONGOZI
MAWASILIANO
Malengo
Magazeti
Habari
_Uchumi
_Siasa
_Sanaa
_Michezo
_Matukio
_Makala
_Maendeleo
_Kitaifa
_Kimataifa
_Elimu
_Ajira
_Afya
Nyumbani
MAMA SALMA AWASILI KIGOMA KUAZIMISHA UCHANGIAJI DAMU
MAMA SALMA AWASILI KIGOMA KUAZIMISHA UCHANGIAJI DAMU
Unknown
Jumamosi, Juni 14, 2014
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa binti Mosi Kimosa ,7, anayesoma darasa la pili katika shule ya msingi Msimba iliyoko Kigoma Vijijini na binti Trisa Luziga,6, anayesoma darasa la kwanza mara baada ya Mama Salma kutua katika uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ajili ya kumpokea Mama Salma aliyeenda mkoani huko
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mheshimiwa Issa Machibya akimpokea rasmi Mke wa Rais Mama Salma Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma tarehe 13.6.2014. Mama Salma yuko mkoani humo kuhudhuria maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu salama duniani inayoadhimishwa kitaifa mkoani Kigoma
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kucheza ngoma za utamaduni zilizokuwa zikichezwa na akinamama wa Kigoma wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kushiriki maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu salama duniani inayoadhimishwa kitaifa mkoani humo
CHANZO FULL SHANGWE
Chapisha Maoni
0 Maoni
TANGAZO
Viongozi wetu
Tufuate
Facebook
Habari zilizosomwa sana
Download | Christian Bella feat. Ommy Dimpoz - Nani kama Mama | (Official Audio)
Jumatatu, Mei 20, 2019
Download| CCM Mbele kwa Mbele - TOT Band (Official Audio)
Alhamisi, Mei 16, 2019
Download| Dodoma - Dr. Remmy Ongala & Orchestre Super Matimila | (Official Audio)
Ijumaa, Mei 17, 2019
Habari zetu
KITAIFA
564
MAGAZETI
270
SIASA
240
ELIMU
62
MAENDELEO
48
KIMATAIFA
47
MICHEZO
44
VIJANA TV
44
AFYA
39
SANAA
36
MATUKIO
10
UCHUMI
10
Jumla ya Watembeleaji
Free Online Counter
0 Maoni