Jumanne, 17 Juni 2014

MAMA SALMA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA OFISI YA TEWO SACCOS-TEMEKE


 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua jiwe la msingi la ujenzi jengo la ofisi ya   TEWO-Saccos kwa kufungua kitambaa katika sherehe iliyofanyika wilayani Temeke tarehe 17.6.2014. Kushoto kwa Mama Salma ni Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Janneth Masaburi.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishangilia  baada ya kuzindua jiwe la msingi la ujenzi jengo la ofisi ya   TEWO Saccos kwa kufungua kitambaa katika sherehe iliyofanyika wilayani Temeke tarehe 17.6.2014. Kushoto kwa Mama Salma ni Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Janneth Masaburi.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwapungia wananchi waliohudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la TEWO Saccos huko Temeke tarehe 17.6.2019
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Mjoumbe wa Bodi ya TEWO Saccos Mama Catherine John (Bi Nyakomba) wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi la Saccos hiyo huko Temeke tarehe 17.6.2014.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea Tuzo maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa TEWO Saccos  Ndugu Sophia Kinega. Mama Salma alipewa Tuzo hiyo kwa ajili ya ushirikiano wake na Saccos hiyo katika kuchangia kwa kiasi kikubwa ujenzi  wa jengo la ofisi ya TEWO Saccos.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia wanachama wa TEWO Saccos, mwana Vicoba na wananchi wa wilaya ya Temeke waliohudhuria sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi za TEWO Saccos huko Temeke tarehe 17.6.2014.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia wanachama wa TEWO Saccos, mwana Vicoba na wananchi wa wilaya ya Temeke waliohudhuria sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi za TEWO Saccos huko Temeke tarehe 17.6.2014.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi cheti  Ndugu Yusuf Manji kilichotolewa na TEWO Saccos  kwa watu na makampuni mbalimbali yaliyoshiriki katika kuchangia ujenzi wa jengo la TEWO Saccos huko Temeke tarehe 17.6.2014.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi cheti (Certificate of Appreciation) Ndugu Philomena Marijani, Afisa kutoka Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, kilichotolewa na TEWO Saccos kwa ajili ya kuwashukuru watu na Taasisi mbalimbali zilizochangia kwa kiasi kikubwa ujenzi wa ofisi za Saccos hiyo huko Temeke tarehe 17.6.2014.
 Mwakilishi wa Kampuni ya Mabasi ya Usafiri Dar es Salaam, UDA, Ndugu Simon Bulenganiya akikabidhi  mfano wa hundi ya sh 30,000,000 kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya TEWO Saccos kwa Mwenyekiti wa Saccos hiyo Ndugu Sophia Kinega wakati wa sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi terehe 17.6.2014.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa jengo la ofisi ya TEWO Saccos wakati wa sherehe ya kuweka jiwe la msingi huko Temeke tarehe 17.6.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TEWO Saccos na wale wa serikali waliohudhuria sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi la SACCOS hiyo tarehe17.6.2014. PICHA ZOTE NA JOHN LUKUWI-MAELEZO, DSM
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu