Unordered List


MBONI MHITA NDANI YA ARUSHA JUNE 6/2014

NB
Add caption
Pamoja na kufungua mashina na kufanya mikutano ya hadhara,,,makamu mwenyekiti aliwataka vijana kujitambua na kukataa kutumika na makundi ya watu kwa maslahi yao wakati vijana ndio wanaoteseka,aliwataka vijana wa Arusha kujiuliza maamuzi yao ya hasira kama ya mewasaidia kitu hadi sasa,,,aliwaomba wajifunze kutokana na makosa na na pia vijana wajipange kugombea nafasi mbalimbali katika chaguzi zijazo,,,,

"vijana tusikubali kukata tamaa,twendeni pamoja tushikamane tusaidiane katika kujenga nchi yetu na pia maendeleo yetu..."

Chapisha Maoni

0 Maoni