Jumatatu, 23 Juni 2014

MBUNGE WA TEMEKE ABBAS MTEMVU, AKABIDHI FUTARI KWA WATAKAOFUNGA RAMADHANI, TEMEKE

 Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akishiriki ujenzi wa Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Azimio Kusini, Temeke, Dar es Salaam, jana. Mapema Mtemvu aliendesha harambee kwa ajili ya kupata sh. milioni 6 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa ofisi hiyo.
 Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akishiriki ujenzi wa Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Azimio Kusini, Temeke, Dar es Salaam, jana. Mapema Mtemvu aliendesha harambee kwa ajili ya kupata sh. milioni 6 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa ofisi hiyo.
 Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza, wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Azimio Kusini, Temeke, Dar es Salaam, jana. Mapema Mtemvu aliendesha harambee kwa ajili ya kupata sh. milioni 6 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa ofisi hiyo. Kulia ni Diwani wa Kata ya Azimio (CUF), Mohamed Mpembenwe ambaye naye alihudhuria hafla hiyo.
 Mtemvu akimpongeza Muya wa Jonging Club ya Temeke Azimio baada ya kijana huyo kuchangia sh,10,000 ujenzi wa jengo la mtaa wao
 Iddi Hussein (9) wa Madrasatul Jamiya Gongolamboto akisoma suratul 'Wabhuha' wakati wa hafla ya kugawa fedha na chakula kwa ayatima kwa ajili ya maandalizi ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Sadaka hiyo aliyogawa Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (AM) ilitolewa na viongozi wa Taasisi ya Kiislam ya Hansene kutoka Ujerumani.
 Mzee Faraji Tamim wa Taasisi ya Kiislam ya FORUM, akizungumza wakati wa kutoka msaada huo, katika jimbo la Temeke, Dar es Salaam, Wapili kulia ni Mtemvu na kushoto nbi viongozi wa Taasisi ya HANSENE kutoka Ujerumani.
 Mtemvu amkabidhi bahasha ya fedha, yatima Nuru Ramadhani, wakati wa utoaji sadaka hizo. Kushoto ni kiongozi wa taasisi ya Kiislam ya Hansene, kutoka ujerumani, Zekerriya Kolu
 Mtemvu akigawa viroba vya vyakula vya futari kwa wanaotarajiwa kufunga Mwenzi Mtukufu wa Ramadhani na Yatima, Temeke, Dar es Salaam, jana. Kushoto ni kiongozi wa taasisi ya Kiislam ya Hansene kutoka ujerumani, Zekerriya Kol
Hadija Rashidi akiondoka na kiroba chake cha futari aliyogaiwa na Tasisi ya Kiislam ya Hansen ya Ujerumani. 
 
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO-CCM Blog
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Gadget

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu