Unordered List


MH. MBONI MHITA AIWAKILISHA UVCCM TAIFA KWENYE MSIBA WA MAMA YAKE MH. ZITTO ZUBEIR KABWE

 Makamu Mwenyekiti Umoja wa Vijana CCM Mh. Mboni Mhita akijianda kupanda Ndege kwenda Kigoma kwenye Msiba wa Mama Yake Mh. Zitto Zuber Kabwe.


Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa UVCCM Mh. Benno Malisa na Makamu Mwenyekiti Umoja wa Vijana CCM Mh. Mboni Mhita. wakiwa na Mh. Ester Bulaya, Mh. Catherine Magige

Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa UVCCM Mh. Benno Malisa na Makamu Mwenyekiti Umoja wa Vijana CCM Mh. Mboni Mhita.

Chapisha Maoni

0 Maoni