Unordered List

MKUTANO WA HADHARA MOROGORO MJINI TUPO NA JEMBE MWIGULU NCHEMBA

 Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Komredi Mwigulu Nchemba akiwa kwenye Mkutano wa hadhara unaofanyika Morogoro Mjini sasa hivi.
 Wananchi wa Morogoro Mjini wakiwa wanamsikiza Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Komredi Mwigulu Nchemba.
 Wananchi wa Morogoro Mjini wakiwa wanamsikiza Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Komredi Mwigulu Nchemba.

Chapisha Maoni

0 Maoni