Unordered List


MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA PWANI MH. MOHAMMED NYUNDO AFANYA ZIARA MAFIA

Vijana walioombatana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Mkoa wa Pwani Mh. Mohammed Nyundo wakigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa hospitalini.

 Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Pwani na Mnec wa Mafia Mh. Mohammed Nyundo akitoka hospitali ya wilaya ya Mafia alipoenda kuwajulia hali wagonjwa.



 Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Pwani na Mnec wa Mafia Mh. Mohammed Nyundo akigawa kadi kwa wanachama wapya wa Jumuiya ya Vijana CCM.
  Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Pwani na Mnec wa Mafia Mh. Mohammed Nyundo akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ziara yake wilaya ya Mafia

Chapisha Maoni

0 Maoni