Jumatatu, 2 Juni 2014

OLE SENDEKA: WANANCHI WA SIMANJIRO KULINDA ARDHI YAO NA KUWANYANGANYA WOTE WALIOWAPORA WANAVIJIJI ARDHI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Orkesumet ambapo aliwambia ahadi za Rais zitatekelezwa kama zilivyoahidiwa kwa wananchi wa Simanjiro.Katibu Mkuu pia alisisitiza wananchi kutochagua viongozi wa vijiji wa hovyo ambao mwisho wa siku huuza ardhi yao na kusababisha migogoro.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Orkesumet ambapo pia alitoa salaam za pole kwa niaba ya chama cha Mainduzi kwa Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Singida Ndugu Martha Mlata kwa kufiwa na Baba yake pamoja na Mbunge wa Chadem Ndugu Zitto Kabwe kwa kufiwa na Mama yake.
 Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Ndugu Christopher Ole Sendeka akihutubia wakazi wa Orkesumet ambapo alihawakikishia kuwa maendeleo kwenye jimbo hilo yanafanyika kwa kasi kubwa na kusisitiza kuwa wale wote waliovamia maeneo ambayo siyo yao watanyang'anywa.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizindua gari la mradi wa kukodisha la kikundi cha Vicoba Mkombozi, Kikundi hicho kina wanachama 30 .


 Jengo la Mama na Mtoto la kituo cha Afya Orkesumet,Simanjiro.
 Bohari ya Dawa ya Kituo cha Afya Orkesumet,Simanjiro.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Daktari Juma Nahonyo wakati wa ukaguzi wa jengo litakalo kuwa bohari ya Dawa katika kituo cha Afya cha Orkesument.
Bango linaloonyesha huduma na taratibu zake la kituo cha afya cha Orkesumet.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu