Unordered List


RAIS KIKWETE AHANI MISIBA YA MCHEKESHAJI SAIDI NGAMBA "MZEE SMALL" JIJINI DAR


 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bw. Mahmoud Saidi, Mtoto wa Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa filamu vichekesho nyumbani kwa  marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam Juni 9, 2014
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii  maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa  marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam  Juni 9, 2014  Kulia ni Bw. Mahmoud Saidi, Mtoto wa Marehemu “Mzee Small”
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua  wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii  maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa  marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam  Juni 9, 2014 
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakifariji wafiwa   wakati walipokwenda kuhani msiba wa msanii  maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa  marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam Juni 9, 2014
 Mama Salma  Kikwete akimpa pole mjane wa  Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Smal”l  wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo  maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa  marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam  Juni 9, 2014. 

Chapisha Maoni

0 Maoni