Alhamisi, 12 Juni 2014

SOKO LA MACHINGA KARUME LATEKETEA KWA MOTO Soko Maarufu la Mitumba Karume jijini Dare es Salaam limetekea kwa moto ambao mpaka sasa haujajulikana chanzo chake. Moto huo ambao unasemekana ulianzia majira ya jana usiku saa tatu umeteketeza mali za mamilioni ya shilingi na kuacha wafanya biashara wengi kwenye wakati mgumu.
 Moto ukiendelea kuunguza mabati yaliyosalia.
 Kila kitu kimeungua.
Watu wakiokoteza mabati
Mabango ya Matangazo ya Biashara yakiwa yametekea pia.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu