Jumapili, 15 Juni 2014

TAMASHA LA "NAIAMINIA-TANZANIA" DODOMAMkongwe wa Mziki wa Bongo Fleva afande Sele akibadilishana Mawazo na Diamond Platnum "Sukari ya Warembo"
 
Millard Ayo akipata Ukodak na Mwasiti mkali wa "Mpaito" 
 
Jukwaa la Wasanii wakiimba Hellow Hellow Tanzania. 
 
Hafsa Kazinja akitoa burudani kwa Wakazi wa Dodoma waliofurika Viwanja vya Jamhuri. 
 
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Christina Shusho akiimba kwa ajili ya Tanzania. 
 
Kila Mmoja anasambaza Upendo kwa Mwenzie 
 
Viongozi wakifurahia Kampeni ya NaiaminiaTanzania 
 
Mh.Freeman Mbowe akifurahia Umoja wa Tanzania na Kusapoti kampeni ya "NAIAMINIATANZANIA". 
 
Wasanii wa Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.

Picha zote kwa hisani ya Sanga Jr. 
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu