Unordered List


TANZIA TANZIA TANZIA: RAJIV FUNDIKIRA




  

Taarifa za uhakika nilizozipokea hivi punde zinatufahamisha kuwa kiongozi wetu mpendwa ndugu RAJIV FUNDIKIRA amefariki Dunia akiwa hospital alipokuwa akipata matibabu ...enzi ya uhai wake Marehemu alikuwa ameshika wazifa mbali mbali za uongozi wa UVCCM.

Nafasi hizo ni kama zifuatazo:-

1... Mkufunzi wa Chipukizi Wilaya ya Ilala.

2... Katibu wa UVCCM Wilaya mbalimbali ikiwemo na Ilala.

3... Katibu wa UVCCM Mkoa wa Manyara.

4... Katibu Msaidizi Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa.

5... Mjumbe wa kamati ya uendeshaji ya Chipukizi Taifa.

Hakika tutamkumbuka sana ndugu yetu RAJIV FUNDIKIRA kwa kazi alizozifanya katika nafasi mbalimbali za UVCCM.

Mbele yake nyuma yetu ... Innah lillah waiyna illah rajiuun


Chapisha Maoni

0 Maoni