Jumapili, 1 Juni 2014

UVCCM TAIFA IMEPOKEA KWA MASIKITIKO KIFO CHA MAMA MZAZI WA MH. ZITTO KABWE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiwa na mama yake Mama Hajjat Shida Salum, enzi za uhai wake. Mhe. Zitto kupitia mtandao wa Twitter amearifu kuwa mama amefariki dunia leo.
Wazazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, Mzee Kabwe Zuberi Kabwe na HajjatShida Salum(Enzi za uhai wake) wakijadiliana jambo walipohudhuria mkutano wa mtoto wao.
 

Rais Jakaya Kikwete alimjulia hali Hajjat Shida Salum wakati amelazwa hospitalini, pembeni ni Mh. Zitto Zuber Kabwe. 

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Mh. Nape Mosses akimsalimi Hajjat Shida Salum(Enzi za uhai wake), 
 Hajjat Shida Salum akiwa anatafakari jambo enzi za uhai wake, Jumuiya ya Vijana wa CCM tunapenda kumuombea Mama yetu Mungu ailaze roho yake pahala pema peponi AMIN(INNALIL-LAHI WA-INNA-ILAHI-RAJIUN)

Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu