akizungumza leo wakati wa ufunguzi wa kikao hicho cha secretariet, mwenyekiti wa kikao hicho ambae ni katibu mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu SIXTUS MAPUNDA, alisema: " hiki ni kikao cha kawaida cha kazi,nawaomba sana jumuiya nyingine za vyama vya siasa kuiga mfano wa UVCCM ili wawe na maamuzi ya pamoja yatakayowaepusha na migogoro ya mara kwa mara...kikao hicho ambacho kwa kawaida uwajumuisha wajumbe toka Bara na Zanzibar pia imedhihirisha kuwa ni jumuiya iliyokuwa kimuungano katika kuidumisha TANZANIA.
0 Maoni