Jumapili, 6 Julai 2014

KONGAMANO LA TATHMINI YA MIAKA 13 YA UTEKELEZAJI WA SERA MPYA YA MAMBO YA NJE LAFANYIKA DAR ES SALAAM


 Waziri wa Ardhi na Makazi Profesa Anna Tibaijuka akitoa mchango wake katika Mada ya Ushirikiano wa Vijana katika vyama vya Siasa Kimataifa wakati wa Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa Sera Mpya ya Mambo ya Nje -Diplomasia ya Uchumi , Mafanikio na Changamoto lililofanyika kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam,Julai 5.2014.
 Mwakilishi wa Mgeni Mualikwa Balozi Joseph Sokoine akizungumza na Vijana waliohudhuria Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa Sera Mpya ya Mambo ya Nje -Diplomasia ya Uchumi , Mafanikio na Changamoto,upande wake wa kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Ramadhani Madabida na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa CCM Tawi la Chuo cha Diplomasia Dk.Telephory Kyaruzi,Kongamano hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam,Julai 5.2014.(Balozi Joseph Sokoine alimuwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje Mheshimiwa Bernard Membe ambaye alikuwa na hudhuru)
 Wadau wakifuatilia kwa makini michango ya Mada zinazotolewa wakati wa Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa Sera Mpya ya Mambo ya Nje -Diplomasia ya Uchumi , Mafanikio na Changamoto lililofanyika kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam,Julai 5.2014.
 
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam akizungumzia suala la kukuza na kuendeleza Umoja wa Afrika na kukuza Umoja wa Kiuchumi ikiwa pamoja na kuunga mkono sera ya kutofungamana na upande wowote na kuwataka Vijana wasomi kusimamia na kuchangia maoni yao katika upatikanaji wa Itikadi ya nchi.
 Mtumishi wa Mungu Askofu Isaya Joseph akifuatilia kwa makini Mada mbali mbali wakati wa Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa Sera Mpya ya Mambo ya Nje -Diplomasia ya Uchumi , Mafanikio na Changamoto lililofanyika kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam,Julai 5.2014.
 Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Zawadi Abdallah akiuliza swali linalohusu uwepo wa Tanzania katika mashirikisho tofauti wakati wa Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa Sera Mpya ya Mambo ya Nje -Diplomasia ya Uchumi , Mafanikio na Changamoto lililofanyika kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam,Julai 5.2014.
 Sehemu ya Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia waliohudhuria.

Baadhi ya Wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini.

 Mwenyekiti wa CCM Tawi la Chuo cha Diplomasia Dk Telephory Kyaruzi akiagana na Mwakilishi wa Mgeni mwalikwa Balozi Joseph Sokoine kwenye Viwanja vya Karimjee mara baada ya kumalizika kwa Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa Sera Mpya ya Mambo ya Nje -Diplomasia ya Uchumi , Mafanikio na Changamoto.
Share:
UVCCM TANZANIA. Inaendeshwa na Blogger.

Mdau Janza fomu hii

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Followers

Google+ Followers

WANAOPERUZI KWA SIKU

VideoBar

Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho iliyosimbwa kwa njia fiche.

YALIYOMO

Follow us by Email

FAHADI SIRAJI

FAHADI SIRAJI
Mtengenezaji na Msimamizi Mkuu wa Blog hii

WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA

IKO KATIKA MAREKEBISHO

My Blog List

Translate/chagua lugha

MAKATIBU WAKUU WA ZAMANI UVCCM

Kumbukumbu la Blogu